Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi (NEC) mjipange vizuri kiusalama kuhusu wadukuzi wa matokeo yatakayokuwa yanatumwa kwenu

Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi (NEC) mjipange vizuri kiusalama kuhusu wadukuzi wa matokeo yatakayokuwa yanatumwa kwenu

NEC iwe makini na January makamba hakawii kuleta wachina wake
Sielewi mnavyowaza.mpaka nawashangaa sana.kwamba hamjui NEC na CCM Lao ni moja.Watendaji wote wa NEC ni rais anawateuwa,unatarajia wataendaje kinyume na mamlaka ya uteuzi wao.wako pale kwa ajili ya CCM.Unatarajia NEC waitendee haki na usawa chadema.jaribuni kuwaza tofauti.
 
Kwahiyo mnashiriki huku mmekwisha shindwa?
 
Kwahiyo mnashiriki huku mmekwisha shindwa?
Kwa hiyo tunashiriki ,sisi Akina Nani.Magu ni mgombea na NEC ni yeye kawateuwa.hivi akiwaagiza au akiwapa maelekezo Cha kufanya kuna atakaebisha wakati ni bosi wako.kuna mazingira ambayo ata mtoto mdogo ukimweleza anakueleawa.NDIO MAANA KUNA MAHITAJI YA KATIBA MPYA.
 
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .

Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Kwanini kila halmashauri isijitegemee kurusha ama kutangaza matokeo kwenye simu km wanavyo rusha matangazo yao ya halrmashauri.Tume ithibishe tu
 
Kwanini wewe usiwe ndiye puppet?
Nina wasiwasi na yule puppet aliekua ubelgiji,ndio maana akasema ataingia mtaani,utasemaje hivyo hata kura hazijapigwa?
 
Kwanini kila halmashauri isijitegemee kurusha ama kutangaza matokeo kwenye simu km wanavyo rusha matangazo yao ya halrmashauri.Tume ithibishe tu
Ni kweli mkuu,kwani Kura ipigwe Namanyere matokeo yakatangaziwe Dsm.Wasimamizi wa uchaguzi majimboni watangaze matokeo yote kuanzia udiwani,ubunge na urais halafu ndio yarushwe NEC makao makuu kwa MAJUMUISHO.ILI KUJENGA KUAMINIANA.
 
Back
Top Bottom