Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

Huwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi bila katiba mpya, acheni uzwazwa.....

Tume huru inahitajika kwanza kwani ndiyo itakayo ipitisha hata katiba mpya kwa uhuru na uwazi.
 
Kwa akili yako mgombea wa upinzani akishinda basi inakuwa ni ishara tosha kiwa tume ni huru!!!!!!???
Da,kwa akili hizi hatuwezi kufika.
 
Reactions: Qwy
Haya yote Ni mavi uharo bila time huru ya UCHAGUZI na Katiba mpya
 
Reactions: Qwy
TUME inajirekebisha yenyewe badala ya kurekebishwa na wananchi....ajabu sana. Kesi ya nyani anaamua nyani mwenyewe....
 
Mapendekezo mazuri kiasi chake
 
Tume ya sasa ni takataka kama takataka nyingine tu, tume inapaswa kuwa independent isiyoweza kuingiliwa na serikali.
 
Tunataka katiba mpya na hayo yaangaliwe ndani ya katiba mpya.

Umeona mkuu janja ya nyani kuficha makalio kwa kiganja? Halafu mwisho wa siku waje waseme hakuna haja ya katiba mpya kwani marekebisho ya tume yalishafanywa
 
Tume msifanye watu ni mabwege
Mna laana
KATIBA MPYA PERIOD!
 
"Anayemlipa mpiga zumari ndiye anaechagua wimbo" ni msemo wa kitambo sana ktk lugha yetu adhimu ya kiswahili wenye maana pana sana na unamgusa kila mtanzania ktk mazingira yake ya kila Siku.
 
Ni vigumu mno kurudisha credibility baada ya yaliyotokea mwaka juzi na mwaka jana. Na chaguzi zote za marudio zilizofanyika.

Amandla...
 
CCM wanatufanya wanavyojisikia, wanatugeuza wanavyotaka ,na ukihoji unaambiwa amia Burundi.
Mkitaka mabadiriko leteni katiba mpya na si vinginevyo.
 
Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848]Hii hapana
 
Reactions: Qwy
Pendekezo namba 2 umelielewa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…