Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

Kuna uhuru gani hapa

Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.
Hapa kwanza watazipunguzia ufanisi kwa kisingizo cha ufinyu wa bajeti. Pili wataweka mchujo wa hizo taasisi kwa kisingio kuwa serikali haiwezi kizihudumia zote.

Michakato hiyo yote ina kadabra kama zote.
 
Wafute kipengele Cha kupita bila kupingwa
 
Kuna uhuru gani hapa

Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.
Ili ziwe controlled na serikali, very stupid suggestion.
Asasi zinazotoa elimu ya uraia hazipaswi kabisa kufungamana na serikali kwa namna yoyote.
 
Pendekezo la maana ni moja tu...tume iliyopo ivunjwe na kuundwa tume mpya huru kwani hii ya sasa inafanya kazi kwa maelekezo ya moja wa wagombea ambaye ni wa CCM. Hii tume ya sasa ni kama kitengo cha CCM na hakuna marekebisho yoyote ya maana yanawezekana bila ya kuifumua hii tume na kuunda tume mpya baada ya Katiba mpya kupatikana...this one is beyond repair!
 
Tunahitaji Katiba Mpya siyo kuweka viraka vilivyochakaa kwenye Katiba ya sasa.
 
Roho zinawasuta....

Mapendekezo ya nini tena wakati mwaka mmoja tu uliopita tulikuwa na perfect election?
 
Reactions: Qwy
Kangara itabaki ileile kwenye 'kisado' kipya.
 
Tunatakq katiba mpya na tume ya ya uchaguzi
 
Neno
 
pendekezo no. 1 ilipaswa kuwa tume ivunjwe iundwe mpyaaa itayoaminika alafu hayo mengine yafuate...
 
pendekezo no. 1 ilipaswa kuwa tume ivunjwe iundwe mpyaaa itayoaminika alafu hayo mengine yafuate...
Hii ya sasa Haiaminiki?
Nani haiamini?
Sio kila mmoja haiamini, Tuna Viongozi kwasababu Tume inaaminika na kazi zake zinaaminika. Maoni ya wachache hayawezi kugeneralize mambo
 
Hii ya sasa Haiaminiki?
Nani haiamini?
Sio kila mmoja haiamini, Tuna Viongozi kwasababu Tume inaaminika na kazi zake zinaaminika. Maoni ya wachache hayawezi kugeneralize mambo
Naongelea wenye akili timamu na watu conscious kama mimi ukiachilia mbali mazuzu na vilaza jamaa.
 
Mkurugenzi akivuruga uchaguzi eneo lolote tume aiwezi kumuambia hata neno sio vizuri ulivyofanya inaka kimya maana haijamuaziri
 
Mkurugenzi akivuruga uchaguzi eneo lolote tume aiwezi kumuambia hata neno sio vizuri ulivyofanya inaka kimya maana haijamuaziri
Well said! Kuna hoja ya msingi hapa. Ingawa Tume inao uwezo wa kupendekeza awajibishwe, isipokuwa utashi wa mamlaka unawanyima Tume kuhitimisha uwajibishaji huo.
 
Kwani yeye kasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…