Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi: Tunasubiri tangazo la kuvunjwa kwa Bunge ili tutangaze tarehe rasmi ya Uchaguzi 2020

Lazima watangaze tu maana hakuna njia
 
Gazeti la serikali ni Tanzania Daima mmelipiga ban mbwakoko wa Lumumba this is unacceptable.
 
Inamaana hawakuona ile hotuba ya mzee baba alivyojipinda kuelezea Mambo yote yale na kuvunja bunge bado wanasubiri tangazo..!!

Dah! Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
Hayo ni matakwa ya kisheria ndugu siyo utashi wao.
 
Mi najua itakuwa 25/10/2020 Kama ilivyo ada
 
Hivi gazeti la serikali ni lipi?
Mfano. ili sheria iwe halali baada ya kupitishwa bungeni ,ni lazima Raisi atie saini yake kisha na kumkabidhi mwanasheria mkuu ili aitie kama nyongeza ya sheria za nchi.Hapo ndio inakuwa Rasmi.

Hivyo hivyo kuvunjwa kwa Bunge, ni lazima Raisi atowe Hati maalum aikabidhi kwa wahusika na ndio tukio hilo litakuwa halali kisheria. kwa kusema tuu kuwa umevuunja ,haichukuliwi na Tume kuwa ndio tayari mpaka wapate kwa maandishi.
HII NDIO GOVERNMENT GAZETTE
 
Tume au shina la CCM?
 
Kwa hiyo wabunge bado wapo kazini mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…