Tume ya Uchaguzi Tunisia kupuuza uamuzi wa Mahakama wa kuwarejesha Wagombea watatu wa Urais

Tume ya Uchaguzi Tunisia kupuuza uamuzi wa Mahakama wa kuwarejesha Wagombea watatu wa Urais

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea hao ni Mbunge wa zamani Zouhair Maghzaoui, Mfanyabiashara Ayachi Zammel na Rais wa sasa Kais Saied

Aidha, Rais wa Tunisia Saied anakabiliwa na tuhuma za kujaribu kupunguza idadi ya watu wanaoruhusiwa kugombea dhidi yake. Katika taarifa iliyotolewa na shirika la habari la Agence France-Presse (AFP) Tume ya Uchaguzi ya Tunisia imesema kuwa mahakama haikuwa imewasilisha rasmi uamuzi wake ndani ya muda uliowekwa

Tuhuma hizi zinakuja baada ya Rais Saied kupitisha katiba ya Utawala wa mtu mmoja 'One man rule' mwaka 2021 baada ya kumfukuza kazi waziri mkuu na kusitisha bunge akidai ni njia ya kuboresha uchumi na mfumo wa siasa nchini humo​

===============For English Audience============
Tunisia's electoral commission has approved just three candidates to run in next month's presidential election ignoring a court ruling to reinstate three others.

Among those approved are President Kais Saied and Ayachi Zammel, whose campaign team had earlier said had been arrested on Monday.
The president faces accusations of trying to restrict the number of those allowed to run against him.

Since he won his first term in 2019 Mr Saied has suspended parliament and concentrated power in his hands.

Last week, the country's highest court said three candidates who had been barred from running by the electoral commission should be allowed to participate.

Farouk Bouasker, the head of the commission had said he would look at the court's ruling before making a decision.

In a statement quoted by the AFP news agency, the commission said that the court had not officially communicated its ruling within the deadline.

New York-based rights group Human Rights Watch said in August that the authorities had excluded eight other prospective candidates for the 6 October election through prosecution and imprisonment.

Mr Zammel's campaign team, which said he was accused of falsifying details of those who backed him, dismissed the allegation as "absurd", the Reuters news agency reports.

In 2021, after sacking the prime minister and suspending parliament, President Saied pushed through a new constitution cementing his one-man rule.

The new constitution replaced one drafted soon after the Arab Spring in 2011, which saw Tunisia overthrow late dictator Zine al-Abidine Ben Ali. It gave the head of state full executive control and supreme command of the army.

Mr Saied has justified his actions by saying he needed new powers to break a cycle of political paralysis and economic decay.

SOURCE: BBC
 
hukawii kusikia chakademus wanailaumu ccm hata kwenye hii issue
 
Back
Top Bottom