Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani Soma, Pia
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani