Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
Your browser is not able to display this video.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
View attachment 3259708 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani

Tena hata hao 10m umekadiria mbali sana iwapo cdm hawatashiriki. Na sababu hasa ya ccm kutaka cdm washiriki ni ili kupata idadi kubwa ya wapiga kura. Maana wanajua waangalizi wa kimataifa waatandika ccm ni chama kilicho madarakani kisheria lakini bila ridhaa ya umma.
Ok sawa tukubali wapiga kura ni milioni 34, nina amini kwamba katika takwimu hizo asilimia 85 ya data hizo ni wananchi waliokwenda kujiandikisha kwa ajili ya kupata vitambulisho kwa manufaa yao wenyewe. Kwenye matokeo ya Urais utakuja kusikia Mshindi wa kwanza amepata kura milioni sita, na mshindi wa pili amepata kura milioni moja. Time will tell
Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
View attachment 3259708 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani
Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume, idadi hiyo inatokana na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura unaoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
View attachment 3259708 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani
Takwimu hizi ni za uongo!
Aweke wapiga kura Kila Kijiji au mtaa nchi nzima muone maajabu.
2. Pia majina yabandikwe Kila mtu muone maajabu
3. Namba za nida za kila mpiga kura iwepo kwenye jina la mpiga kura muone maajabu.
4. Mfumo wa nida usomane na mfumo wa Tume ya uchaguzi muone maajabu