kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Watu tunaenda kupiga Kura tunarudi home, wawepo mawakala wasiwepo napiga naenda kwa mke wangu nyumbaniAmani ya nchi ipo mikononi mwa NEC na ZEC, hili wanapaswa kulielewa na sio la kuwakumbusha kama watoto wa chekechea.
Wakifanya UJINGA, wananchi tutafanya UPUMBAVU.
Mizengwe tayari imeanza kupakuliwa toka jikoni. Fujo zitaanzia hapa kwenye kuteua na kuapisha na kuwapa vitambulisho mawakala. Ccm haitakubali kupoteza nafasi ya wazi ya wizi.Kwa kweli iwekwe wazi... Kila chama kijue...
Haya mambo sometimes yanaumiza... Basi tuu!!!Mizengwe tayari imeanza kupakuliwa toka jikoni. Fujo zitaanzia hapa kwenye kuteua na kuapisha na kuwapa vitambulisho mawakala. Ccm haitakubali kupoteza nafasi ya wazi ya wizi.
Mawakala wake wengi watapelekwa kwa majina ya vyama vya CcmB. Chadema chunga sana kuanzia hapo. Si wasimamizi ni wao? Na NEC si ni yao? Mtaona!