Tume ya uchaguzi yasitisha kutangaza matokeo kupisha uchunguzi wa fomu za 34A

Tume ya uchaguzi yasitisha kutangaza matokeo kupisha uchunguzi wa fomu za 34A

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Baada ya mgombea wa NASA kulalamika kuhusu matokeo sio halali yanayotolewa na tume kutokana kukosekana na baadhi ya nyaraka za fomu alizodai odinga

Sasa tume ya uchaguzi imesitisha kutangaza matokeo ili kupisha uchunguzi wa hizo fomu za 3a zinazodaiwa na odinga

Source citizen news
 
Nilishangazwa na tume kutangaza priminary results haraka haraka wakati wakijua fika kwamba wamekihuka kanuni za chaguzi, kulikuwa na ulazima gani wa kuharakisha mambo?

Kuuwawa kwa Mkurugenzi mkuu wa ICT wa tume ya uchaguzi na kukutwa mwili wake umekatwa mkono, si hilo tu hata wataalamu/washauri wa ICT kutoka Marekani na Canada walitiwa mbaroni nafikiri wamekwisha wa deport - kwa akili za kawaida matukio hayo yote yalikuwa na lengo gani kama si ushahidi tosha kwamba Dola lilikuwa lina mpango wa kuingilia system ya upigaji kura na ku-favour Kenyatta? Siwatakii mabaya Wakenya lakini Serikali yao isitake kulazimisha mambo ambayo yanaweza kuikosesha amani Kenya na raia wake - hakuna haja ya kulazimisha ushindi.
 
Baada ya mgombea wa NASA kulalamika kuhusu matokeo sio halali yanayotolewa na tume kutokana kukosekana na baadhi ya nyaraka za fomu alizodai odinga

Sasa tume ya uchaguzi imesitisha kutangaza matokeo ili kupisha uchunguzi wa hizo fomu za 3a zinazodaiwa na odinga

Source citizen news
Watumie dawa ya Jechaquine kutibu matokeo
 
Wakipindua matokeo yaliyokwisha tangazwa itakuwa balaa zaidi...
Hilo balaa halitoiacha Kny salama...
 
Licha ya changamoto zote, tuwaombee wamalize salama uchaguzi wao.
 
Ina maana mpaka leo uchaguzi unaendelea??? Em malizeni mambo yenu mumpe raila nchi fasta
 
Back
Top Bottom