Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu


Ndugu zinduka usingizin,Tunduma jana haikutangazwa imetangazwa leo na matokeo ni hayo hayo

Bumbuli mmechukua idadi ya kura za maoni ndo mkaweka idadi ya wapiga kura. Sikujua kama mtaendeleza uongo wenu kiasi hiki.

Aibu sana kwa wasomi kuleta uchambuzi uliojaa uchochezi
 
Kufuatia taarifa kwamba ZEC imefuta matokeo ya Uchaguzi wa Urais na Uwakilishi, hii maana yake nini kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar/Muungano hasa kuhusu uhalali wa kisiasa na kisheria kwa mamlaka ambazo zilitakiwa kumaliza muda wake baada ya Uchaguzi?

Je Katiba inatoa mwongozo gani na hatua za kuchukua kipindi cha mpito hadi kufikia Uchaguzi?

Naomba kuelimishwa wadau wenzangu.
 
Nivipi kuhusu KURA za wagombea uRAIS w MUUNGANO
 
Huu ni UFISADI mkubwa kuliko Richmond, EPA, na Escrow.

Tume ivunjwe, iundwe mpya.

Washitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka na mali ya umma

Ni kutia Taifa umasikini kwa kuendekeza ubinafsi.

NB: Kikwete ataendelea kuwa raisi kwa muda huu, kisheria. Na Wasira bado ni Waziri.
 
huu ndio wakati muafaka wa Lowasa nae kutangaza yake...maana hakuna namna
 
'Namuona' Kagame akicheka kimoyomoyo juu ya Demokrasia ya Tanzania...!
 
hivi anae paswa kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki ni nani?

kama tume ndo wanalia uchaguzi haukua huru na wa haki je vyama vishiriki vya siasa kwenye uchaguzi vitasemaje? teh teh teh teh!
 
Kama umefutwa inamaana na bara utafutwa sababu kura za Zanzibar hukubara zitakuwa hamna,
 
Magufuli asiapishwe kwa kura za upande mmoja, uchaguzi wote urudiwe chini ya tume huru , sio tumeccm.

hamna tatizo bado magufuli atashinda....haya uchaguzi mpya utakua mwakani,mda na saa kama hizi
 
lowasa jitangazie na wewe ushindi turudie tena maana majimbo hayatoshi
 
Kama uchaguzi haukuwa huru na haki ni dhahiri utakuwa umeadhiri hadi matokeo ya kura za muungano ni dhahiri shahiri uchaguzi wa muungano watakiwa kurudiwa hasa huku Zanzibar hivyo mgombea anaweza asipatikane hapo alhamisi kama ilivyotarajiwa.Ila ngoja tusubiri tamko la NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…