Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Hiki ni kituko cha Mwaka...Jechs S Jecha umelikoroga kwa kwenda kuomba ushauri upande wa pili.

Hivi hii tume haina wanasheria?

1. Tangazo lenyewe halina Tarehe
2. Mwenyekiti katoa maelezo halafu haja sema ni kifungu gani cha sheria kinacho toa mamlaka kwa Tume Kufuta Uchaguzi?
3. Tume haijaeleza kama wapiga kura walizidi kwenye vituo kuliko wale walio andikisha na kwa kuwa wale wale waliopiga kura kwa ajili ya viongozi wa Zanzibar ndo hao hao waliopigia Rais wa JMT, Tume kwanini haijasema mustakbari wa kura za rais wa JMT?

Huu ni mwanzo wa Picha tu...mengi yataibuka ngoja tusubiri
 
Tundu Lisu mtoe tafadhali.Sio mwanasheria wa kuaminika.Huyo akiwa mwanasheria alisema Lowasa Fisadi halafu akiwa mwanasheria hivyo hivyo akageuka kusema Lowasa SIO fisadi!!!!! He is an unrealiable advocate!!! Usitafute ushauri kwa Tundu LISSU.Mimi hata akijibu hata kumsikiliza sitasikiliza na hata akiandika siwezi soma alichoandika ni Mwanasheria kinyonga Tundu Lissu.

huyu ndiye mwanasheria wa ukweli...anaweza kumtetea victim wa crime kwenye kesi moja lakini katika kesi nyingine anaweza kumtetea criminal, au hili nalo hujui?

like me, trust Lissu!
 
Tatizo ni nini hasaa?? Vimetumika vktuo hivyo hivyo na wasimamizi ndio hao hao na wapiga kura ni hao hao...yakibatilika yabatilike kote

Mkuu Mrs Kharusy,huyo jamaa ni kichwa maji tu.
Moja ya sababu ya msingi ya kubatilisha matokeo ni idadi ya kura zilizopigwa katika baadhi ya majimbo ni nyingi zaidi ya idadi ya watu waliopo kwenye daftari.
Sasa hii maana yake hata wabunge na rais wa JMT nao wamepigiwa kura na watu hao hao waliofanya matokeo kufutwa.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kura za zanzibar zinaathiri matokeo ya tanzania kwa ujumla.
Inshort tumepangua goli la mkono hapo Zanzibar.

sio kweli KURA za BARA na VISIWANI hazichanganywi, NEC wanasimamia kura za Raisi wa Tanzania, bara na visiwani, huko Zanzibar wamejichanganya wenyewe na kura zao. Sisi huku bara mambo yataendelea kama kawaida.
 
Au walijua huku bara ndo maana wakaanza kutangaza yote ya zanzibar, ili waje kukataa kura za zanzibar kama atashinda Maalim.
 
neno moja kwa jemedari hili la siasa za Zanzibar......mm namwambia tuna matumaini makubwa juu yake...amepigania haki za watu wa Zanzibar bila kuchoka...we love you Maalim Seif Shariff Hamad
Huyu unayemuita jemedari ndo aliyevuruga, maana kajitangaza na mwenyekiti kasema Pemba ndo hakuko sawa, kwa hiyo hapa ni 'jemedari' ndo anaenda 'pukutishwa' kwa 'vote rigging'!
 
ZEC inasema uchaguzi haukuwa huru na haki, NEC inasema ulikuwa huru na wa haki!
 
Kweli tunaibiwa hivihivi. Wanadai idadi ya wapiga kura imeongezeka Zanzibar je ni kweli kwamba hata kura za urais jamhuri wapiga kura si walewale. Kweli tunadanganywa. Watanzania mwaka huu.
 
Kuna mjinga mmoja anaitwa January Makamba anasema uchaguzi wa raisi wa Muungano husimamiwa na tume ya huku bara. NEC haijaona kama kuna tatizo huko Zenj.

Katika siku zote hizo hapo ndipo nilipomuona January kasema kweli. Ni kweli NEC hawajaona tatizo katika uchaguzi wa Zanzibar. Kwa vile ni kweli hakuna tatizo. Hilo tatizo nila kuzusha tu.
 
Tundu Lisu mtoe tafadhali.Sio mwanasheria wa kuaminika.Huyo akiwa mwanasheria alisema Lowasa Fisadi halafu akiwa mwanasheria hivyo hivyo akageuka kusema Lowasa SIO fisadi!!!!! He is an unrealiable advocate!!! Usitafute ushauri kwa Tundu LISSU.Mimi hata akijibu hata kumsikiliza sitasikiliza na hata akiandika siwezi soma alichoandika ni Mwanasheria kinyonga Tundu Lissu.

Tundu Lissu ni mwanasheria wa kutegemewa na aliyebobea, kama unabisha muulize spika wa JMT alivyomtegemea sana Lissu kwenye kuweka sawa vifungu vya kisheria wakiwa wamekwama bungeni. Hata hivyo kazi ya advocate ni kumtetea mtu hata ikiwezekana kutwist ukweli, au hujawahi kuhudhuria kesi mahakamani?
 
Namkumbuka Jamaa Mmoja Hapa Jamvin Aliwah Kusema Kikwete Kuendelea Kuwa Rais Had 2017 Naanza Kuziona Dalili...
 
Napata mashaka kuwa Zanzibar walikuwa slow, nahisi kulikua pia na kitengo cha IT kule ambacho kimefanya kazi na kufanikiwa moja ya malengo yake! Kushinda au kuvuruga matokeo halisi maana mwenyekiti kasema hii ishu imekithiri Pemba.
Na jinsi nionavyo, ndivyo walivyotaka kufanya na hapa bara ila Kova alikuwa fasta, ni pia bado ni mpango wao wakatae matokeo ila ni tooo late.
Hii sasa si habari njema ya uchaguzi kufutwa.

isingekuwa cyber crime ningekutukana had ufe
 
Makamba naye aliyejitangazia ushindi vipi???

Makamba iz very smart, kama ulimsikia vizuri, hakitamgaza kuwa wameahinda ila alisema viti walivyo project kuvipata wamevipata. Huwezi mkamata kwa kusema hivyo!
Sasa Seif yeye akaingia kichwa kichwa.
 
lubuva muda huu anasema hayo ya huko zanzibar eti hayawezi athiri matokeo ya urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania??

Sasa kura za uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa zile kura za zanzibar zilizofutwa na zec itakuwaje bado ni kura halali??? Kura zitakuwaje halali wakati zec wamesema kulikuwa na dosari zinzoonyesha hata fomu za matokeo kufutwa futwa??

Kama KURA ZA ZENJI si halali utampataje rais WA JMT bila kura za Zanzibar????


Nchi inakwenda mahali pabaya
 
Napata mashaka kuwa Zanzibar walikuwa slow, nahisi kulikua pia na kitengo cha IT kule ambacho kimefanya kazi na kufanikiwa moja ya malengo yake! Kushinda au kuvuruga matokeo halisi maana mwenyekiti kasema hii ishu imekithiri Pemba.
Na jinsi nionavyo, ndivyo walivyotaka kufanya na hapa bara ila Kova alikuwa fasta, ni pia bado ni mpango wao wakatae matokeo ila ni tooo late.
Hii sasa si habari njema ya uchaguzi kufutwa.

Ubongo wa nyumbu huu.
 
HUU NI MTAZAMO WANGU MIMI JUU YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI
Tanzania ni nchi iliyo tokana na muungano wan chi mbili yaani Zanzibar na Tanganyika, Nchi hizi zimefanikiwa kusimamisha historia ya amani tokea kuungana kwao mwaka 1964. Na mpaka sasa ni takriban miaka 50.
Zanzibar imekuwa chini ya CCM tokea kpindi hicho na maraisi wake walitokana na ushindi wa kura kwa kupitia CCM. Na mpaka leo hii Zanzibar inaongozwa na Raisi aliye tokea chama cha CCM.
Mwaka huu wazanzibari walikuwa na shauku kubwa ya kufanya mabadiliko, wakitana atleast Wapate Raisi kutokea chama kingine. Chama kikuu cha upinzani Zanzibar ni CUF. Ambacho kipo chainia ya mgombea wa Uraisi ndugu Maalim Seif, aliye kuwa makamu wa Kwanza wa Raisi wa Selikali ya mapinduzi Zanzibar, baada ya kuunda selikali ya umoja wa kitaifa mwaka 2010.
Mtazamo wangu katika matokeo ya mwaka huu baada ya ndugu Maalim Seif kuamua kujitangaza kuwa ameshinda na idadi ya kura anazo kulingana na vituo vilivyo piga kura na nyaraka zilizo sainiwa na mawakala wa vituo kitoka vyama vyote vilivyo shiriki uchaguzi.
Cha kushangaza Watanzania tunaambiwa uchaguzi unarudiwa, uarudiwa kwasababu kuu tatu kama sio nne. Kujitangaza kwa maalim seif kabla uhesabuji wa kura kuto malizika, idadi ya kura kuzidi idadi ya wapiga kura kwa baadhi ya vituo, pia uchaguzi huo haukuwa huru na haki.
Mimi mtazamo wangu, kurudia uchaguzi sio jambo sahihi. NA KAMA TUNAAMUA KURUDIA UCHAGUZI, BASI TURUDIE TANZANIA NZIMA, NA SI KIPANDE KIMOJA TU CHA ZANZIBAR. Ninaamini, sehemu zilizo zidi kura kuliko wapiga kura, zipo kura za wagombea wa uraisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania. Na kwakuwa Zanzibar ni kipande kimoja wapo cha Tanzania, sini sababu nusu ya tanzana irudie uchaguzi halafu nusu yake isirudie uchaguzi.
GHARAMA ZA UCHAGUZI
Tunafikiria gharama za kuwalipa mawakala, kuchapisha ballot papers, kuwalipa wasimamizi, na pia vifaa vingine vya stationaries, gharama za mafuta na magari kusafirisha vifaa hivyo katka vituo mbalimbali, nani atazicover. Je ni uzembe wa nani aliye sababsha kura feki ziingie kwenye asanduku ya kura? Hao wazembe watachukuliwa hatua gani?
Musichukulie hili suala kiwepesi sana lakini Watanzania tuawaaminisha vipi kwamba uchaguzi haukuwa huru na haki ma sio kujaribu kukwanyua haki ya chama Fulani kilicho shinda?
Napenda kuwaomba Watanzania kuwa na moyo wa subira, wavumilivu, lakini ikitokea idadi ya wapiga kura ikapungua zaidi Musishangae.
 
Back
Top Bottom