Happy new year MkuuMatapeli wakizunguka kutakatisha mauaji ya mo29.
Kwahiyo mlitaka mchome Nchi Kisha Samia akimbie?Matapeli wakizunguka kutakatisha mauaji ya mo29.
Same to you.Happy new year Mkuu
Muda huongea
Mtoto wa mke mwenzio naona kaona project yenu ya Chauma hailipi. Kaanza kujirudisha akafanye usnitch cdm. Mtabaki nyie na Fundi Mchundo tu mkifanya nongwa.Kwahiyo mlitaka mchome Nchi Kisha Samia akimbie?
Kaeni mbali mita elfu mojaMkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa Mara
Fita ni fita muraaaa!! Mapanga shaaaaaah