Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
SawaTume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Soma: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026
Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
Ripoti hiyo lazima aliyelipwa bilioni tano atajwe,watu toka nje waliofanya maandano watajwe.Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Soma: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026
Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
Faki the mazafakas! Tayari tunajua kilichojiri—all we want is accountability!Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Soma: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026
Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
Nimecheka sana, tume ya muuaji aliyetangazwa kwa kura 31m za uongo inaenda kufunga watu, halafu yeye anabaki kama rais😂😂Kuna watu hasa walio organize yake maandamano haramu ya October 29 wanailaumu tume kuchelewesha majibu.
Msilolijua ni kwamba mnailaumu tume kuchelewesha haki zenu za kupelekwa jela.
Niko pale, nasubiri siku mtakayolia na kusaga meno.
Jitambue kwanza ndio uandike yanayoeleweka! Umeandika ujinga.Serikali imetulinda dhidi ya vurugu za wajinga wachache..Watu WA demokrasia ujinga wenu unafanana ..Yale yale ya USA kupeleka silaha kwa ajili ya machafuko huko Iran ,halafu anakuja kujifanya watu wamekufa ..Pelekeni ujinga eenu mbele huko ,maisha yanaendelea.
Fala wewe , peleka ujinga wako..Tutaendelea kuishi kwa Amani.Jitambue kwanza ndio uandike yanayoeleweka! Umeandika ujinga.