ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Wanapoteza muda wa watu na pesa za walipakodi.Utadhani wapo serious na maisha kumbe hapo wanajiona kama Kanumba kipindi cha kaole akiigiza kuwa kwenye tume.
Upuuzi mtupu.
Mkuu nimecheka mpaka wananishangaaUtadhani wapo serious na maisha kumbe hapo wanajiona kama Kanumba kipindi cha kaole akiigiza kuwa kwenye tume.
Upuuzi mtupu.
Dah😂😂😂Utadhani wapo serious na maisha kumbe hapo wanajiona kama Kanumba kipindi cha kaole akiigiza kuwa kwenye tume.
Upuuzi mtupu.
Ukumbi wanaotumia ni pale BOT Unategemea nini?HAO WAPUUZI WANAMALIZA LINI
Ukumbi wanaotumia ni pale BOT Unategemea nini?
hawa pimbi mpaka miaka mitano iishe wanakula kiyoyozi na posho nene tu mapimbi haya!
Ni upumbavu tu, hakuna kinachoendelea saa hii. Serikali imejaa wendawazimu watupu haijawahi kutokea.Wanapoteza muda wa watu na pesa za walipakodi.
Unadhani ana uhuru huo basi. Hata kesho akiambiwa afunge ofisi akabidhi ripoti hana cha kubisha. Wao lao moja, kubangaiza huku na huko ili kuwachelewesha ICC.Hata mm ningekua mwenyekiti wa Tume ninge prolong hilo zoezi mpaka mwakani.
Nikimaliza hapa ndani naenda kuhoji na Nchi jirani, si mlisema vijana walitoka nje?
Napita kenya, Uganda & Rwanda.
Then naapita kwa nchi za Mabalozi woote walio kua wana issue waraka wa kabla na baada ya matukio.
Alafu namalizia Vyombo vya habari.
Yote hii ningefanya ili Nifaidi Perdiemu Nzuri, Maana hata ukiwa serious na kazi vipi No. body will give the fvck about your report or recommendations
Wamekuwa waigizaji wazuri. Sijui walipitia pale TASUBA wakanolewa kidogo au wana vipaji vya asili?Utadhani wapo serious na maisha kumbe hapo wanajiona kama Kanumba kipindi cha kaole akiigiza kuwa kwenye tume.
Upuuzi mtupu.
Umesahau na safari ya kwenda Vatican maana hadi Papa aliguswa na yanayoendelea bongo.Hata mm ningekua mwenyekiti wa Tume ninge prolong hilo zoezi mpaka mwakani.
Nikimaliza hapa ndani naenda kuhoji na Nchi jirani, si mlisema vijana walitoka nje?
Napita kenya, Uganda & Rwanda.
Then naapita kwa nchi za Mabalozi woote walio kua wana issue waraka wa kabla na baada ya matukio.
Alafu namalizia Vyombo vya habari.
Yote hii ningefanya ili Nifaidi Perdiemu Nzuri, Maana hata ukiwa serious na kazi vipi No. body will give the fvck about your report or recommendations