PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 yakutana wananchi Temeke

PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 yakutana wananchi Temeke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la kusikiliza na kupokea maoni na ushauri. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Iddy Nyundo, Dar es Salaam, ambapo wananchi walijadili chanzo cha matukio hayo pamoja na athari zake kwa wananchi, mali na miundombinu.

Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
 
Tume hii sijaona ikienda kuwahoji walikuwa na silaha wakiua watu.
Wala sijaona wakijishughulisha kutaka kujua ORDER ilitoka kwa nani

Wala sijaona ikijishughulisha kutaka kujua ukweli wa makaburi ya halaiki

Wala hamjafika kuhoji madaktari pale mwananyamala hospital
 
Wanatengeneza ushahidi wa kusapoti ripoti ambayo tayari imeandikwa. Ushahidi wowote unaoenda kinyume cha ripoti hiyo hauzingatiwi na wanauogopa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom