Wanatengeneza ushahidi wa kusapoti ripoti ambayo tayari imeandikwa. Ushahidi wowote unaoenda kinyume cha ripoti hiyo hauzingatiwi na wanauogopa kama ukoma.Tume hii sijaona ikienda kuwahoji walikuwa na silaha wakiua watu.
Wala sijaona wakijishughulisha kutaka kujua ORDER ilitoka kwa nani
Wala sijaona ikijishughulisha kutaka kujua ukweli wa makaburi ya halaiki
Wala hamjafika kuhoji madaktari pale mwananyamala hospital