PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatimaye katiba mpya imetajwa na tume, na mapendekezo ni kabla ya 2028.
Acha tuone kama litafanyiwa kazi!
 
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu na vigezo vya kimataifa na kuondoa porojo za wanaharakati kutaka wazungu kuja kuchunguza mambo ambayo Tanzania ina uwezo wa kuyachunguza.. #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande #UkweliOktoba29
 
-Nani aliamuru live bullets zitumike
-Wale waliouawa majumbani lengo lilikuwa ni lipi
-Wale waliochukuliwa wakapelekwa kufirwa(mfano yule kijana wa 14yrs wa Arusha) ilikuwa ni kwa madhumuni gani
-Watu walikuwa wakipigwa risasi za kichwa(lengo obvious likiwa ni kuua na wala si kuzuia maandamano) badala ya miguu, nani alitoa amri ya shoot to kill
-Mfano wa yule mama mjamzito aliyepigwa risasi ya mgongoni na atawajibika
-Kuna clip polisi wakimuamuru mtu ashuke kwenye gari lao na akimbie then wakammiminia risasi na kumuua majina ya hao polisi yatawekwa public?

Haya ni miongoni mwa maswali yanayopoaswa kujibiwa.
 
Hawawezi kuyajibu ni kinuke tena tu
 

Habar
 
23 Avril 2026
Dar es Salaam, Tanzanie

LA PRÉSIDENTE SAMIA HASSAN REÇOIT LE RAPPORT DE LA COMMISSION D’ENQUÊTE SUR LES TROUBLES ÉLECTORAUX DE 2025​


View: https://m.youtube.com/watch?v=B_iAgTSLBrUSon Excellence Dr Samia Suluhu Hassan, Présidente de la République-Unie de Tanzanie, reçoit le rapport de la Commission présidentielle d’enquête sur les violences et troubles survenus pendant et après l’élection générale d’octobre 2025, au Palais présidentiel, Dar es Salaam, le 23 avril 2026.
 
23 April 2026
Dar es Salaam, Tanzania

PRESIDENT SAMIA HASSAN RECEIVES INQUIRY REPORT ON 2025 ELECTION VIOLENCE IN TANZANIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=_SFoCMCBMY8Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, receives the Presidential Commission of Inquiry report on election violence and unrest during and after the October 2025 General Election, at State House, Dar es Salaam, April 23, 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…