jaji chande ni miongoni mwa hazina ya kipekee sana TanzaniaMADAI YA KUWEPO KWA MAKABURI YA HALAIKI
“Kulikuwepo na madai kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Tume ilifanya uchunguzi ikiwa ni pamoja na kutembelea na kukagua eneo lote la makaburi, kufanya mahojiano na kupata taarifa ya Afisa Msimamizi wa makaburi katika Manispaa ya Kinondoni na kuchukua ushahidi wa msimamizi wa makaburi ya Kondo.”
jaji chande kapiga kwenye mshono wa wazushi"Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini
kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana na ushahidi na uchunguzi wa Tume wa uwandani, na kwa kuzingatia hali iliyoonekana katika eneo la Makaburi ya Kondo pamoja na taarifa za Wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi, Tume imebaini kuwa, madai ya kuwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la Kondo hayana ukweli."
hv alifikaje level ya jaji mkuu huyu?Huyu mzee anaonekana hana akili
Katombane na mama yako,mpumbavu wewe"Waandamanaji walibeba silaha mbalimbali, isivyoruhusiwa katika maandamano ya amani" #UkweliOktoba29 #RipotiYaTume
Huyu akifa nitampongeza shetani kwa kunywa bia!Huyu mzee pepo hataweza kuiona kamwe
Elimu za hapa na pale mkuuhv alifikaje level ya jaji mkuu huyu?
Akiingiia peponi niite mbwaHuyu mzee pepo hataweza kuiona kamwe
Kama policcm wanatakiwa tu kupewa notisi, mbona huwa wanazuia maandamano, mikutano, mikusanyika pamoja na kukamata, kupiga, kujeruhi kupoteza na kuuwa washiriki??Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi ikiwemo maandamano kuwa ya amani na kutoa notisi kwa jeshi la polisi kwa mujibu wa vifungu 42 na 43 wa sheria ya jeshi la polisi. Matakwa ya sheria za kimataifa sio kibali ni notisi, na Tanzania pia liko takwa hilo la kutoa taarifa sio kibali na sisi kwetu ni taarifa ya masaa 48 kama ilivyo sheria ya Ureno ni kama vile ya Tanzania.
Hakika, maana hata kusoma hajuiElimu za hapa na pale mkuu