PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwamba lile kaburi la halaiki ni uzikaji wa kawaida wa manispaa baada ya kukosa ndugu 😂😂😂😂

Anaachaje watu wake wanafanyiwa hivi?
 
JAJI CHANDE

◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025
◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura
◾️waratibu wa ghasi walitumia malalamiko ya wananchi dhidi ya serikali wakati wanawashawishi
◾️wafanya gahasia walikuwa wezi na walipora na kuiba mali za watu

#RipotiYaMatukioYaOktoba29 #UkweliOktoba29
 
Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil

Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi

Mfano…Kuna kijana mmoja USA River Arusha, miaka 16 alipewa 50k na ahadi ya 5M akishiriki…..

Pia Tume ilibaini zilitumika mbinu 16 katika kuratibu, na ku mobilize ghasia zile ambazo mfano ni;

1. Kuweka vizuizi barabarani
2. Kuchoma mali za Umma
3. Matumizi ya ishara ili kutambuana
4. Kuanzisha ghasia sehemu nyingi na kwa wakati mmoja ili kutapanya polisi.

Malengo ya waratibu wale ilikua ni pamoja na;

1. Kuzuia na kuvuruga Uchaguzi Mkuu
2. Kufikisha ujumbe kwa Serikali
3. Kufanya wizi na kupora mali

Jaji Othman Chande
#RipotiyaTume #UkweliOktoba29
 
Zack Abdul kwa avatar Yako na kujiunga kwako machi hapa Jf kunasema mengi sana na kujibu mengi sana. We all know, una mission na mmoja wa Wana mission so keep it up. But mind you, there ever had the so called Roman great empire, there lived great men of whom once uttering you couldn't dare raise your throat. Despite all that, it is the history that holds the move. It is not so sooner than later that your history will match the fate and let the world spit it.
 
Mbona nyuzi zimekuwa nyingi hivi mzee! Si utulie amalize kisha uweke uzi mmoja!
 
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23, Aprili, 2026.

#UmojaWetuNdiyoNguvuYetu
#turidhiane #UkweliOktoba29
IMG-20260423-WA0040.jpg
 
Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil

Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi

Mfano…Kuna kijana mmoja USA River Arusha, miaka 16 alipewa 50k na ahadi ya 5M akishiriki…..

Pia Tume ilibaini zilitumika mbinu 16 katika kuratibu, na ku mobilize ghasia zile ambazo mfano ni;

1. Kuweka vizuizi barabarani
2. Kuchoma mali za Umma
3. Matumizi ya ishara ili kutambuana
4. Kuanzisha ghasia sehemu nyingi na kwa wakati mmoja ili kutapanya polisi.

Malengo ya waratibu wale ilikua ni pamoja na;

1. Kuzuia na kuvuruga Uchaguzi Mkuu
2. Kufikisha ujumbe kwa Serikali
3. Kufanya wizi na kupora mali

Jaji Othman Chande
#RipotiyaTume #UkweliOktoba29
🚮
Tume iliyoundwa na mtuhumiwa haiwezi kueleza ukweli
 
"Waandamanaji walibeba silaha mbalimbali, isivyoruhusiwa katika maandamano ya amani" #UkweliOktoba29 #RipotiYaTume
 
JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI

Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman, akiwasilisha Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla inayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 23 Aprili 2026.
 

Attachments

  • IMG-20260423-WA0043.jpg
    IMG-20260423-WA0043.jpg
    1.2 MB · Views: 18
  • IMG-20260423-WA0042.jpg
    IMG-20260423-WA0042.jpg
    1.1 MB · Views: 20
  • IMG-20260423-WA0039.jpg
    IMG-20260423-WA0039.jpg
    86.2 KB · Views: 17
Kumbe waliwapa watu simu ili wapige picha na kurekodi video ili kutuma kwenye mitandao ya kijamii ili watumie kama hamasa ya watu kupata hasira na kutoka nje?

#UkweliOktoba29
 
Back
Top Bottom