PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akiwa Mtaalamu Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Sudan, Jaji Chande alifanya tathmini za moja kwa moja katika mazingira magumu sana. Uwezo wake wa kutoa matokeo yasiyopendelea chini ya shinikizo unaimarisha kwa nini ripoti ya Tume ya Uchunguzi itakuwa imara kisheria na ya kuaminika kabisa. #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki #UkweliOktoba29
 
Chuma Jaji Chande kiboko cha wahaini anazungumza muda huu kwa kujiamini na mtu anayejua kipi ambacho anaenda kukizungumza huu ni mfano mzuri na kuna la kujifunza hapa.
#UkweliOktoba29
Ngoja niku block maana unanipotezea.muda na MB!
 
Jaji Chande

VICHECHEZO

🚨Wanasiasa na wanaharakati walikuwa chanzo cha vurugu - vichochea mahsusi vilitumika na wanaharakati kufanya vurugu
🚨 Mitandao ya kijamii ilitumika kuchochea vurugu- content creators walichochea kutofanyika kwa uchaguzi
🚨Wanaharakati walitumia majukwaa kufanya vurugu na kuzuia uchaguzi mkuu usifanyike
🚨 Waandamanaji walipewa simu maalumu kupiga picha kwa wafanya ghasia
🚨Waliaminishwa kuwa JWTZ kuwa sehemu ya vurugu

CHADEMA NI CHAMA CHA KIGAIDI NA KIFUTWE.. PERIOD📌

#UkweliOktoba29
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini walianza kufanya patrol ya kuzunguka na mitutu

Kwasababu walijua kilichomo ndani ya tume kwakua yalikuwa ni mapendekezo yao na sio field research.

Mpaka sasa sielewi kwanini walikuwa wanahirisha hairisha kuiwasilisha ikiwa majibu yamekuja kama yale ambayo viongozi wa serikali walikuwa wakitoa kabla ya kuiagiza tume.
 
Yani sikutegemea basement eti watu wanajiteka??Eti serikali za mutaa kuwanyima watu haki? Ndo ilisababisha maandamnao ni usanii wameshindwa kutaja jeshi la polisi ni chanzo cha ukandamizaji wa haki! Sidhani hii tume kama ni mwarobaini wa hiki kilichotokea tatehe 29/10 hii itaendelea kulitafuna taifa
 
Watanzania waliofika mbele ya tume wameeleza kuhusu yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu na kukiri kwamba sivyo tulivyo Watanzania kwa asili yetu.
#UkweliOktoba29
 
Wenzako huwa hawasifii hivyo, umeshaharibu na hujamjenga huyo Jaji.

Unge enda kwa stepu kama wenzio kina Kitenge au kikeke sasa wewe kwa siku uzi 50 kitu hicho hicho tu unaonekana kabisa unatumika
 
Daaah
 
AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Kutoka uongozi wake kama Jaji
Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na inayotii na kufuata sheria kikamilifu bila mapendeleo yoyote.
#TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
IMG-20260422-WA0125.jpg
 
Back
Top Bottom