StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Pendekeza,tumwombe Mungu afanye nini juu ya nchi yetu?Nimeelewa Mkuu, tuendelee kuiombea Nchi yetu
Pendekeza,tumwombe Mungu afanye nini juu ya nchi yetu?Nimeelewa Mkuu, tuendelee kuiombea Nchi yetu
Chiembe hi huyuhuyu mke wa mwembeHalafu MARIDHIANO itafanya wewe na chiembe Ritz big show
Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!..
🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025
🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande hatukuhitaji wazungu kuja kuchunguza mambo ya 29 Oktoba 2025
#UkweliOktoba29View attachment 3577756
HIli lizee ni lijinga kabisaKutekwa au kujiteka
Mmesikia huu ushuzi?
Kazi kweli kweli.Projected Vedict.
Ripoti haina jipya.
Jaji Chande aweka historia ya kuwa jaji mstaafu ambae ni chawa na mhuni.
Huu uwe ni mwanzo wa vita kati ya waloelimika na wale wanojita wasomi.
Elimu Tanzania imepigwa bao 1-0 na wajanja, mafisadi, machawa na wanojiita wasomi lakini hawajaelimika.
Wale walosoma wakaelimika waitumie hii fursa kuwaondoa wanojiita wasomi.
Huwezi kuwa wajiita msomi hadi ngazi ya phd kisha wapigwa bao na watu kama Msukuma na Baba Levo.
Ataerusha mawe ruhsa.
Nilitarajia ushuzi wa aina hii au zaidi kwenye hii ripotiHil
HIli lizee ni lijinga kabisa