johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na Akina Jo &coπ€Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Kazi kweli kweli bwasheeNa Akina Jo &coπ€
Mbona mnajitoa ufahamu mikataba yote iliyofanyika nchi hii lilifanyika na serikali yenu pendwa na mlikuwa mnapiga makofi leo mnajitoa ufahamu kwa ujinga niliofanya wenyewe kwa ulafi wenu mnawaita watu vibaraka wakati leo mnawafuata huko huko na Royal tour zenuItakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Povu la nini, kunywa maji ushushe jazba mankaItakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Umetema nyongo yote. Pole sanaItakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Kuna upumbavu uliozidi ule wa kununua wabunge na madiwani wa upinzani kwa kodi za umma, kisha kuitisha uchaguzi kujaza nafasi zao kwa hela ya walipa kodi ati kuunga mkono juhudi. Kwenda zako!Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Wafuasi wengi hasa wa ccm asilia wangependa hiyo tume iharakishwe wawajue waliokuwa wanatishia maisha na mali zao!Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Happy je, umepata kitu leo??Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Kinana, Membe, mzee Makamba Jakaya Kikwete, Sumaye, Mbowe ni miongoni mwa wachache walioumizwa na jiwe a.k.a mungu wa sukuma gang.wanasiasa vibaraka
Watu walioumizwa ni wengi nitawataja wacahache hapa;Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Wewe happyxxx ni mnufaika wa utawala wa Mwendazake. Kuwa mpole huwezi kuzuia huu mchakato as long as Rais SSH amekwisha anza kuongea na CDM.Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.
Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Mbona una haraka sana kuliko Chadema wenye Hilo Wazo?Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Bwashee kuuliza siyo ujingaMbona una haraka sana kuliko Chadema wenye Hilo Wazo?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Upo out of context kwa makusudi. Majadiliano ni baina ya CDM na Serikali. Maridhiano yatakuwa ya kisiasa sio Mambo ya jinai. Na hasa maraidhiano yanalenga kuanzisha serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mazungumzo ya ndani kidogo.