KERO Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Iwashughulikie Wakopeshaji wa Mtandaoni Wanaodhalilisha Wateja Wao Kwa Kusambaza Taarifa Binafsi Kwa Wasiohusika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Weka mfano wa kesi moja tu ambayo Kampuni ya kukopesha imeshtakiwa na kushindwa Mahakamani kwa sababu ya kutaja jina la mkopaji kwa watu wengine
 
Weka mfano wa kesi moja tu ambayo Kampuni ya kukopesha ineshtakiwa na kushindwa Mahakamani kwa sababu ya kutaja jina la mkopaji kwa watu wenginesamah

Weka mfano wa kesi moja tu ambayo Kampuni ya kukopesha ineshtakiwa na kushindwa Mahakamani kwa sababu ya kutaja jina la mkopaji kwa watu wengine
Sahaman mkuu, kwani hao watu wamewahi kumshitaki mtu Ambae amekupa kwao na akashindwa kuwalipa?1
 
Sahaman mkuu, kwani hao watu wamewahi kumshitaki mtu Ambae amekupa kwao na akashindwa kuwalipa?1
Kawaulize wao kwa kuwa ndiyo wanajuwa wamemkopesha nani, kiasi gani na nani hajalipa!!
 
shida ni kwamba wanakusumbua kabla ya tarehe ya rejesho
 
Serikali inazingua sana, kushindwa kutrack simu tu wanazopiga na yenyewe ni kazi?
 
We lazima ni mnufaika wa hii mikopo haramu isiyo na weledi.
 
Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance wanaongoza kuzalilisha watanzania kupitia hii mikopo haramu.
 
Acha kukopa. Huna hela halafu unataka uwe na hadhi? Haiwezekani. Huwezi ukawa wa moto halafu wa baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…