KERO Tume ya Utumishi wa Mahakama mnapochelewesha matokeo ya usaili mnatutesa!

KERO Tume ya Utumishi wa Mahakama mnapochelewesha matokeo ya usaili mnatutesa!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawa jamaa wanatengeneza mazingira ya rushwa tu. Interview gani mtu anafanya kisha anasubiri majibu wiki zaidi ya mbili. Hata majibu ya VVU yanatoka fasta
 
Hawa jamaa wanatengeneza mazingira ya rushwa tu. Interview gani mtu anafanya kisha anasubiri majibu wiki zaidi ya mbili. Hata majibu ya VVU yanatoka fasta
Nilifanya ya TRA nayo ilichukua kama siku ishirin kuja kutoa matokeo.ila usitegemee Sana mkuu fanya Mambo yako nchi ina wenyewe hii
 
Tuliofanya oral katika tume ya utumishi ya mahakama kama wataita Kwa njia ya SMS tushtuane jamani maana tusikae tunasubir kumbe watu wapo makazini
 
Back
Top Bottom