Kweli kuna political intention tupu ndani ya swala hilo, kipindi hiki cha mwisho wake jk anafanya mambo mengi sana kwa dharura , mara miezi sita maabara , mara katiba mpya, mara bvr, that person is a bit confused with how he is involved with so great scandals than any president in history! That only runs his decisions, and nothing else. Walimu wanahitaji tume lakini wahakikishe inainstitutions zenye kukidhi maslahi ya walimu na ubora wa elimu kwa ujumla, muacheni huyo alievunja serikali mara nne kuunda baraza jipya la mawaziri akapumzike asubiri kesi zake! Na wala msiwatetee ccm kwa sababu hiyo , wanawapa mishara midogo siku nying sana wasijisafishe kirahisi hivyo unapofika wakati wa kuwahukumu kisiasa!