Nsumbanzunya
Senior Member
- Jun 13, 2014
- 177
- 42
Moja ya vitu ambavyo serikari ya awamu ya nne imemaliza navyo ni kuunda Tume ya Utumishi ya Walimu lengo kuu ni kutatua matatizo ya walimu na kuunda sheria na kanuni za utumishi katika kada ya ualimu.
Lakini yote kwa yote sijapata kuielewa matumizi ya tume hii na kivipi itamaliza matatizo ya walimu.
Sso kama kuna mwenye kuuelewa naomba achangie!
Lakini yote kwa yote sijapata kuielewa matumizi ya tume hii na kivipi itamaliza matatizo ya walimu.
Sso kama kuna mwenye kuuelewa naomba achangie!