JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Chini ya mfumo wa CAS maombi yalipelekwa tcu lakini baada ya mwenda zake kuupiga marufuku mfumo huo na kurudisha maombi ya moja kwa moja chuoni inabidi malipo yawe kwa kila chuo naukirudia kuomba tena walipa. Kuna vyuo havina application fee. Chuo chenye ushindani mkubwa mfano udsm hapa huchuma.Ukiritimba umekua mwingi mpaka TCU imekua useless watoto wanapigwa pesa ya application kila wanapo apply, huo ni wizi mtupu inatakiwa mtu alipie mara moja TCU kwa vyuo vyote, sio kufanya kila chuo kutoza application pesa.
Sasa vyuo vinatumia udhaifu huo kujiongezea mapato imagine mtoto anae Apply MD kwenye chuo zaidi ya viwili ka apply mara 4×50000=200,000×2= 400,000 kama wanafunzi 1000 wote wameapply mara nne na wamekosa watakua wamepoteza kiasi gani cha pesa, hapo mtoto wamasokini atakufa masikini, kwanini wasiorodhesha slot za nafasi zilio bakia kila chuo ili mtoto awe sure na kozi gani anapply na chuo gani?Chini ya mfumo wa CAS maombi yalipelekwa tcu lakini baada ya mwenda zake kuupiga marufuku mfumo huo na kurudisha maombi ya moja kwa moja chuoni inabidi malipo yawe kwa kila chuo naukirudia kuomba tena walipa. Kuna vyuo havina application fee. Chuo chenye ushindani mkubwa mfano udsm hapa huchuma.
Miaka hii ukikosa dirisha la kwanza madirisha yanayofuatia haulipii tenaChini ya mfumo wa CAS maombi yalipelekwa tcu lakini baada ya mwenda zake kuupiga marufuku mfumo huo na kurudisha maombi ya moja kwa moja chuoni inabidi malipo yawe kwa kila chuo naukirudia kuomba tena walipa. Kuna vyuo havina application fee. Chuo chenye ushindani mkubwa mfano udsm hapa huchuma.
Mkuu, ni madogo wametoka kupiga sapu au ni wewe?Dah kuna madogo wa mocu (moshi_ushirika) wametoka kupga sup mpaka leo matokeo hajapelekwa tcu.
Hahahahaha... Kwani mkuu unafukunyua nini[emoji28].Comment si inasema madogo auMkuu, ni madogo wametoka kupiga sapu au ni wewe?