Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?


Mbona husemi lowassa mlivyokuwa mnamtukana na kumuita majina ya ajabu na leo hii mnamuona lulu. Iweje ushangae kwa warioba polepole na wengineo.

Kweli wewe ni Mwanachama mwadilifu wa UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU ( UKAWA)
 

Mimi ninamweshimu Warioba kwa unafiki wake tu. Ni mzee anayependa kuuaminisha umma yale asiyoyaamini. Na bahati nzuri kwake watanzania wengi wanapenda kuambia bila ya kujiuliza maswali kwanza. Kila alichokisema warioba kupitia tume mbalimbali baadaye ili kuipalilia ccm, alikikataa kiaina.
 
Endeleeni tu mkichoka mtalala maana siasa haina nyumba ya kudumu popote kambi kama mlikua hamjui mlijie hilo!
 

so warioba ameweka hadi katiba ya wananchi nyuma/mbali ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…