Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?

Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?

Wote ni mashuhuda. Wote mnajua. Mnajua ulivyokuwa msimamo na mtifuano wakati wa mchakato wa Katiba mpya. Mnayajua,kuyahifadhi na kuyakumbuka maneno na matendo ya wanaCCM kuelekea kwa Wajumbe wa Tume ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba.

Tume nayo ilijibu mapigo na kuchagiza kwa midahalo wakati na baada ya mchakato. Wananchi waliamini CCM haiwapendi wajumbe wa Tume na Tume ikatetewa hasa na UKAWA. Akina Jaji Warioba waliitwa wapinzani. Mambo yalikuwa hivyo.

Sasa,Jaji Warioba,Polepole na wajumbe wengine wanaipigania CCM. Wamesahau walivyotwezwa,kutukanwa na kukandiwa. Walikuwa wanawatapeli na kuwalaghai watanzania?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mbona husemi lowassa mlivyokuwa mnamtukana na kumuita majina ya ajabu na leo hii mnamuona lulu. Iweje ushangae kwa warioba polepole na wengineo.

Kweli wewe ni Mwanachama mwadilifu wa UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU ( UKAWA)
 
Wote ni mashuhuda. Wote mnajua. Mnajua ulivyokuwa msimamo na mtifuano wakati wa mchakato wa Katiba mpya. Mnayajua,kuyahifadhi na kuyakumbuka maneno na matendo ya wanaCCM kuelekea kwa Wajumbe wa Tume ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba.

Tume nayo ilijibu mapigo na kuchagiza kwa midahalo wakati na baada ya mchakato. Wananchi waliamini CCM haiwapendi wajumbe wa Tume na Tume ikatetewa hasa na UKAWA. Akina Jaji Warioba waliitwa wapinzani. Mambo yalikuwa hivyo.

Sasa,Jaji Warioba,Polepole na wajumbe wengine wanaipigania CCM. Wamesahau walivyotwezwa,kutukanwa na kukandiwa. Walikuwa wanawatapeli na kuwalaghai watanzania?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mimi ninamweshimu Warioba kwa unafiki wake tu. Ni mzee anayependa kuuaminisha umma yale asiyoyaamini. Na bahati nzuri kwake watanzania wengi wanapenda kuambia bila ya kujiuliza maswali kwanza. Kila alichokisema warioba kupitia tume mbalimbali baadaye ili kuipalilia ccm, alikikataa kiaina.
 
Endeleeni tu mkichoka mtalala maana siasa haina nyumba ya kudumu popote kambi kama mlikua hamjui mlijie hilo!
 
akili ya warioba kubwa,ni kweli ametukanwa,ni kweli aridharaurishwa lakini tujiulize what is at stake in this coming elections,it is bigger than everything else ndo mana mheshimiwa warioba kaweka mbali everything else.alivyo weigh option zake akaona country wll be in better hands in ccm than ukawa

so warioba ameweka hadi katiba ya wananchi nyuma/mbali ?????
 
Back
Top Bottom