Butiku anaelezwa kwenda mbali zaidi akisema amekubali uteuzi wa kuwa kamishna wa Tume hiyo si kwa sababu ya shida ya kupata pesa kwani amekwishazoea kuishi maisha ya bila kuwa na pesa, isipokuwa amekubali kuwamo kwenye Tume hiyo ili kujenga, kutetea na kulinda mustakabali bora wa nchi na vizazi vijavyo.
Ndugu Mwenyekiti, sisi wengine tumeingia humo katika hii Tume si kwa sababu ya kupata pesa kama baadhi ya watu wanavyodhani.