Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
...tukishindwa kuheshimiana kwenye haki za msingi tutachapana tu,na huu ndo ukweli. Hakuna kuzusha wapinzani wanavuruga amani wakati chanzo ni wao. Tuchapane tu ili heshima iwepo kama kenya...
waongo wala siwaamini tena,hawako kwa ajili ya katiba isipokuwa posho aka pochiKazi kwelikweli!
...pole mkuu haya majamaa hayana huruma kabsaaaaa,yanachumia tumbo waziwazi...Sina nywele kichwani kwa kufikiria tembo