Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Status
Not open for further replies.
S. Africa, Kenya, Uganda, Gambia, Nageria na India nazo pia Serikali zao hazina dini lakini pia zimeka kwenye katiba na zinatoa pesa kugharamia iweje Tanzania tunakuwa na choyo?
[/QUO]
Mnapenda kuiga sana. Marekani, Uingereza... wanaruhusu ushoga, kwa
akili yako na Tz turuhusu ushoga?
 
unataka kuaminisha uma kuwa sababu nchi zingine zinakubali ushoga basi na sisi tuukubali tukianzia kwako
Ni wa dini gani hao? Hapana mahakama ya kadhi itatuletea mambo meme pamoja na kupinga ushoga.
 
Toa hoja kwa nini isiwe Tanzania wakati sehemu ya jamii ya watanzania mojawapo inahitaji hicho kitu?


Kama mnahitaji si muanzishe basi, nani kawazuia? Suala hapa ni kwamba pesa za serikali hazitatumika kuanzisha hiyo mahakama wala kugharimia uendeshaji wake. Nyie mnaoitaka, ruksa anzisha na muiendeshe kwa gharama zetu. Period.

Tiba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom