Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ulitaka yatangazwe baada ya siku ngapi, hiyo ndiyo imetoka Raila inabidi asubiri baada ya miaka mitano.Uchaguzi umefanyika kibabe, na kutangazwa rais pia kibabe, fasta hivi?
Tena aibu kubwa rafiki yao mkubwa kuangukia pua.Hongera Uhuru, CCM aibu yao.
Thank God for sparing Kenya from the Lord of poverty and perennial trouble maker who should now retire and leave Kenyans in peace.Aapishwe fasta aanze kumshughulikia msumbufu Odinga
fasta? sasa tume imeshamaliza kazi kuna chakusubiri trna aiseeUchaguzi umefanyika kibabe, na kutangazwa rais pia kibabe, fasta hivi?
As long as iebc delivered election material to polling stations what happens next is upto the votersLakini si watakuwa wamenyimwa haki yao...!
Ama ikoje hii wajuzi wa mambo..
yaani tumekuwa katika hali ya taharuki....ni vizuri kuwa na serikali uongozini pamoja na rais hata iwe ni wa chama kipi....it is time to move forward now...yaani tumekuwa nikupambana tu kisiasa...hamna maendeleo wakati nchi zingine ukanda huu kama vile Ethiopia na ndugu zetu watanzania wanakimbia sana...itabidi turudi kwenye maendeleo...I will finish by quoting the philosophical theory of Act Utilitarianism which argues that an action becomes morally right when it produces the greatest good for the greatest number of people...democracy is quite expensive...as a result, we must be prepared as citizens to pay the ultimate price...
Yes, politically is dead & buried completelyAmefariki?