Tume yamtangaza Uhuru Kenyataa kuwa Rais mteule wa Kenya

Tume yamtangaza Uhuru Kenyataa kuwa Rais mteule wa Kenya

kama nawaon vile wale ma judge waliobatilish ushindi wa uhuru..
 
Aisee kachukua medali zote!
FB_IMG_1509379651672.jpg
 
Uhuru is the president for the next 5 years then ruto upto 2032....
From now don't pay taxes,use safaricom,equity and products that raila forbid.
Unakuaga na feelings sana towards jubilee but now since they have won you have no option
 
yaani tumekuwa katika hali ya taharuki....ni vizuri kuwa na serikali uongozini pamoja na rais hata iwe ni wa chama kipi....it is time to move forward now...yaani tumekuwa nikupambana tu kisiasa...hamna maendeleo wakati nchi zingine ukanda huu kama vile Ethiopia na ndugu zetu watanzania wanakimbia sana...itabidi turudi kwenye maendeleo...I will finish by quoting the philosophical theory of Act Utilitarianism which argues that an action becomes morally right when it produces the greatest good for the greatest number of people...democracy is quite expensive...as a result, we must be prepared as citizens to pay the ultimate price...

I have said it several times in my twitter account "Uhuru na Umoja" that, developing countries cant afford the expenses of democracy such as: immense interference with a country's developmental agenda.
 
Typically African style.Clinging to power at all cost!
 
Haha kumeza wembe kunataka Moyo [emoji23][emoji23]
 
Sio poa wadau hii nchi ni yetu sote hamna haja ya kubezana kihivi maana inapunguza uzalendo.
Wasiomtaka rais Uhuru wana haki zao pia kama Wakenya na bora kutafuta jinsi ya kuishi nao kwa amani badala ya kuwabeza.

Ifahamike kuna gatuzi nne maeneo ya Raila ambazo zitaishi kwa machungu na chuki kwa hatamu hii, hivyo hamna haja ya kutonesha zaidi
 
Back
Top Bottom