Responded Tume yasema waathirika wa Oktoba 29 watapatiwa huduma ya Kisaikolojia

Hiyo ipo kwenye TOR au tume inajiongeza? Upambavu wa hawa watu hauna mfano.

Kitu cha kwanza watu wanataka ni uwajibikaji. Watu wawajibishwe kwa mauaji na ushetani walioufanya.

Anachokiongea hiyo mjumbe wa tume ya mchongo ni sawa na uwe umevamiwa nyumbani kwako ukashambuliwa kwa silaha na kuibiwa, alafu jaji aseme "utatibiwa na kurudishiwa baadhi ya mali zako ili maisha yaendelee".

Wakati huohuo aliyekuvamia yeye pia ataendelea na maisha yake kwa amani kabisa!!

Upumbavu wa wapi huo?
 
Hivi ndiyo jinsi kesi za kina Uhuru na mwenzake Ruto zilipofifia kule ICC kwa kuwatafuta wahanga, kuwaweka karibu, kuwahonga na kuwapoteza ili hatimaye wasiende huko ICC kama mashahidi.

Watu walipewa tahadhari wasiende huko kwenye tume hawajasikia. Wengine watapewa vimilioni 5 eti wataridhika.

Tume inapata wapi mamlaka ya kuwapeleka wahanga kwa wanasaikolojia? Kama hiyo ilikuwa kazi yao, walitakiwa hao wanasaikolojia wawe sehemu ya hiyo tume. Pia kwa kuwa inaonyesha wanajali sana, wasaidie kupatikana na maiti ambazo hazijulikani zilipo maana ni simu moja tu wakipiga wataambiwa zipo wapi.
 
Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.

Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.

Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Ziko wapi hizo nguo wakachukue?
 
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.

Baadhi ya waathiriwa waliofika na kutoa ushahidi wao ni waliojeruhiwa kwa risasi katika miili yao huku wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu.

Mjumbe wa tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue ambaye anaongoza mikutano ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, alisema hayo wakati tume hiyo ikipokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali ya waathirika wa vurugu hizo katika Ukumbi wa Karimjee.
Makundi ya waathirika waliotoa ushahidi wao ni kundi ambalo ndugu zao walipoteza maisha, kundi lililopoteza ndugu zao na hawajui walipo, kundi la watu waliopata ulemavu na kundi la watu waliopoteza mali zao.

Balozi Sefue alisema baadhi ya wananchi waliopata ulemavu wa kudumu kutokana na vurugu hizo wanahitaji kupata ushauri wa kisaikolojia ili waikubali hali hiyo na maisha yaendelee na kwamba tume inatoa msaada wa kisaikolojia kwa kuwakutanisha na wataalamu hao.

Baadhi ya waathiriwa waliopata majeraha na ulemavu wa kudumu waliiambia tume kuwa kutokana na ulemavu huo walioupata wakiwa katika shughuli zao halali, walifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.

“Hatuna uwezo wa kuwapatia miguu bandia lakini tunaweza kuwatafutia wataalamu wa saikolojia na kuwaunganisha na ninyi ili muweze kupata huduma hiyo na maisha yaendelee,” alisema Balozi Sefue.

Aidha, aliwasihi wananchi wanaofika kutoa ushahidi wa kitu gani kilitokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wasiwe na wasiwasi na kwamba maswali wanayoulizwa yanalenga kupata ukweli wa taarifa zinazotolewa.

Kadhalika, wananchi ambao biashara zao ziliathirika kutokana na vurugu za uchaguzi wameiomba serikali kuangalia namna ya kuwasaidia ili wahudumie familia zao kwa sababu mali zao ziliporwa na watu walioshiriki vurugu hizo.

“Biashara zangu zilizoharibiwa katika eneo la Buguruni, thamani yake inafika Shilingi milioni 42, naiomba serikali iangalie namna ya kunisaidia kwani sasa hivi nina miaka 53 nguvu za kutafuta na kuijenga biashara hii sina tena,” alisema mwananchi aliyepoteza maduka yake mawili Buguruni.

Mwananchi mwingine ambaye ni kiongozi katika ngazi ya Shina Mtaa wa Tabata, ameishauri serikali kuchukua hatua mapema baada ya kujitokeza viashiria vya uvunjifu wa amani ili kuokoa maisha na mali za wananchi.

Alisema kwa kuwa maandamano ni tiba ya mioyo ya watu, serikali iangalie namna ya kukaa na vijana katika zama hizi za kidijiti ili kujua mambo wanayowaza ama kuyatekeleza katika kujenga mustakabali wao au wanaotaka watekelezewe ili kuwa vijana wema kwa maslahi ya taifa.

“Serikali imetenga asilimia nne ya mikopo ya halmashauri kwa ajili ya vijana lakini ukifuatilia kwa undani hutakuta kijana hata mmoja aliyepata mikopo hiyo. Waziri wa Vijana atafute jukwaa la kukutana na vijana ili kujua hali halisi ya vijana na achukue hatua ili vijana waweze kuwafikia vijana,” aliongeza mwananchi huyo.

Chanzo: Habari leo

Pia soma ~ Matukio ya Uchaguzi Oktoba 29, yalivyoacha kovu la kisaikolojia: Nani wa kutoa msaada?
Sasa wanaanzaje kutoa majibu kwa waathirika kabla ya kuripoti kwa aliyewatuma?
 
Hivi katika hadidu rejea za kazi ya tume hii, hili la kutoa huduma za kisaikolojia lilikuwepo?

Si kwamba baada ya kufanya majumuisho yake, ndipo ingalipendekeza suala hilo kushauriwa lifanyike!?

Ama ni tume ya kambale, kila mmoja ana sharubu, hivyo kuweza kusema lolote lile pasipo kutambua majukumu sahihi ya tume?
 
Hii huduma wanahitaji wengi zaidi ya watakaoshiriki hivyo vikao. Hata watoa huduma wanahitaji pia.
 
Sasa niulize swali, tume ni taasisi au mamlaka yenye kutoa maamuzi ya walichotumwa kutafiti na kutengenezea ripoti?🤔

Yaani tume umeundwa kwa kazi ya kukusanya taarifa unaanza kujipa majukumu ya kusolve ulichokutana nacho field.

Waliosema hii tume ni batili walikuwa sahihi na wataendelea kuwa sahihi. Tume ni kama kikundi cha wawakilishi wa wakosaji halisi na wamekuja kukagua madhara ya upuuzi uliofanyika na wanataka kujisafisha kupitia hiyo tume.

Huu ni mzaha ,kudharau maumivu ya watu, kudhihaki msiba wa taifa,kuonea wajane,kudhurumu yatima. Haya yote huwa yanamchukiza MUNGU na huwa anatoa adhabu.
 
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.

Baadhi ya waathiriwa waliofika na kutoa ushahidi wao ni waliojeruhiwa kwa risasi katika miili yao huku wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu.

Mjumbe wa tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue ambaye anaongoza mikutano ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, alisema hayo wakati tume hiyo ikipokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali ya waathirika wa vurugu hizo katika Ukumbi wa Karimjee.
Makundi ya waathirika waliotoa ushahidi wao ni kundi ambalo ndugu zao walipoteza maisha, kundi lililopoteza ndugu zao na hawajui walipo, kundi la watu waliopata ulemavu na kundi la watu waliopoteza mali zao.

Balozi Sefue alisema baadhi ya wananchi waliopata ulemavu wa kudumu kutokana na vurugu hizo wanahitaji kupata ushauri wa kisaikolojia ili waikubali hali hiyo na maisha yaendelee na kwamba tume inatoa msaada wa kisaikolojia kwa kuwakutanisha na wataalamu hao.

Baadhi ya waathiriwa waliopata majeraha na ulemavu wa kudumu waliiambia tume kuwa kutokana na ulemavu huo walioupata wakiwa katika shughuli zao halali, walifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.

“Hatuna uwezo wa kuwapatia miguu bandia lakini tunaweza kuwatafutia wataalamu wa saikolojia na kuwaunganisha na ninyi ili muweze kupata huduma hiyo na maisha yaendelee,” alisema Balozi Sefue.

Aidha, aliwasihi wananchi wanaofika kutoa ushahidi wa kitu gani kilitokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wasiwe na wasiwasi na kwamba maswali wanayoulizwa yanalenga kupata ukweli wa taarifa zinazotolewa.

Kadhalika, wananchi ambao biashara zao ziliathirika kutokana na vurugu za uchaguzi wameiomba serikali kuangalia namna ya kuwasaidia ili wahudumie familia zao kwa sababu mali zao ziliporwa na watu walioshiriki vurugu hizo.

“Biashara zangu zilizoharibiwa katika eneo la Buguruni, thamani yake inafika Shilingi milioni 42, naiomba serikali iangalie namna ya kunisaidia kwani sasa hivi nina miaka 53 nguvu za kutafuta na kuijenga biashara hii sina tena,” alisema mwananchi aliyepoteza maduka yake mawili Buguruni.

Mwananchi mwingine ambaye ni kiongozi katika ngazi ya Shina Mtaa wa Tabata, ameishauri serikali kuchukua hatua mapema baada ya kujitokeza viashiria vya uvunjifu wa amani ili kuokoa maisha na mali za wananchi.

Alisema kwa kuwa maandamano ni tiba ya mioyo ya watu, serikali iangalie namna ya kukaa na vijana katika zama hizi za kidijiti ili kujua mambo wanayowaza ama kuyatekeleza katika kujenga mustakabali wao au wanaotaka watekelezewe ili kuwa vijana wema kwa maslahi ya taifa.

“Serikali imetenga asilimia nne ya mikopo ya halmashauri kwa ajili ya vijana lakini ukifuatilia kwa undani hutakuta kijana hata mmoja aliyepata mikopo hiyo. Waziri wa Vijana atafute jukwaa la kukutana na vijana ili kujua hali halisi ya vijana na achukue hatua ili vijana waweze kuwafikia vijana,” aliongeza mwananchi huyo.

Chanzo: Habari leo

Pia soma ~ Matukio ya Uchaguzi Oktoba 29, yalivyoacha kovu la kisaikolojia: Nani wa kutoa msaada?
Mtego mtego mtego ....
 
Mlio karibu na wahanga ,waficheni ndugu zenu hakuna matibabu yoyote mtapewa na hao vibaka wanaojiita tume zaidi ya kuwapoteza .
 
Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.

Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.

Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Vita dhidi ya raia wasio na silaha? Hatuna tena law enforcement, crowd control, riot control (FFU), etc. zaidi ya kutangaza vita dhidi ya raia na kuwaua kama mbwa koko hadi mitaani na majumbani kwao? Unajua hata baadhi ya waliotoka kupiga kura walikula shaba wakirejea nyumbani? Baadhi ya watu wa night shift ambao hawakujua kinachoendelea walitandikwa shaba wakirejea kwao? Anyway, watemi mnaita "colateral damage"! Endeleeni kufurahia pepo ya mabwege.

Kwa mawazo aina hii nitazidi kushangaa usipoelewa kuwa Magufuli naye alikuwa akidhibiti "wahaini", "magaidi" na "wahujumu uchumi".
 
vp umebaka na kuua wangapi? Niliona kuna clip mnapongezana kuua.mmeua hata watoto wadogo wanaocheza mpra uwanjani
 
Vita dhidi ya raia wasio na silaha? Hatuna tena law enforcement, crowd control, riot control (FFU), etc. zaidi ya kutangaza vita dhidi ya raia na kuwaua kama mbwa koko hadi mitaani na majumbani kwao? Unajua hata baadhi ya waliotoka kupiga kura walikula shaba wakirejea nyumbani? Baadhi ya watu wa night shift ambao hawakujua kinachoendelea walitandikwa shaba wakirejea kwao? Anyway, watemi mnaita "colateral damage"! Endeleeni kufurahia pepo ya mabwege.

Kwa mawazo aina hii nitazidi kushangaa usipoelewa kuwa Magufuli naye alikuwa akidhibiti "wahaini", "magaidi" na "wahujumu uchumi".
Usidanganyike. Walikuwa na silaha za locally made petrol bombs known as molotov ndiyo walikuwa wantumia kuchoma miundombinu kama Polisi na petrol stations. Walikuwa wanavaa kininja usoni na waki move lwa boda boda.

Sasa wale waliofuata mkumbo kwa kuwaunga mkono ndiyo wamefagiliwa wengi na risasi. Pengine walikuwa wanawafuata wahalifu ili wakaibe mali za watu na wakachezea goroli za JWTZ. Kumbuka vita havina macho
 
Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.

Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.

Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Eti kwenye vita unafahamu vita wewe idiot.
 
Nilikuwa JKT kwa mujibu wa sheria mwaka 1979 na nimepigana hadi Mbarara Uganda kumg'oa Iddi Amin. Idiot ni baba yako ambaye alibaki nyumbani na mama yako kufanya ngono na kisha ukazaliwa wewe pimbi
 
Kwa mujibu wa sheria?Stori zako za zililpendwa kamsimulie mke wako malaya wa Tabata.
 
Back
Top Bottom