Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Ziko wapi hizo nguo wakachukue?Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.
Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.
Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Sasa wanaanzaje kutoa majibu kwa waathirika kabla ya kuripoti kwa aliyewatuma?TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.
Baadhi ya waathiriwa waliofika na kutoa ushahidi wao ni waliojeruhiwa kwa risasi katika miili yao huku wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu.
Mjumbe wa tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue ambaye anaongoza mikutano ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, alisema hayo wakati tume hiyo ikipokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali ya waathirika wa vurugu hizo katika Ukumbi wa Karimjee.
Makundi ya waathirika waliotoa ushahidi wao ni kundi ambalo ndugu zao walipoteza maisha, kundi lililopoteza ndugu zao na hawajui walipo, kundi la watu waliopata ulemavu na kundi la watu waliopoteza mali zao.
Balozi Sefue alisema baadhi ya wananchi waliopata ulemavu wa kudumu kutokana na vurugu hizo wanahitaji kupata ushauri wa kisaikolojia ili waikubali hali hiyo na maisha yaendelee na kwamba tume inatoa msaada wa kisaikolojia kwa kuwakutanisha na wataalamu hao.
Baadhi ya waathiriwa waliopata majeraha na ulemavu wa kudumu waliiambia tume kuwa kutokana na ulemavu huo walioupata wakiwa katika shughuli zao halali, walifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.
“Hatuna uwezo wa kuwapatia miguu bandia lakini tunaweza kuwatafutia wataalamu wa saikolojia na kuwaunganisha na ninyi ili muweze kupata huduma hiyo na maisha yaendelee,” alisema Balozi Sefue.
Aidha, aliwasihi wananchi wanaofika kutoa ushahidi wa kitu gani kilitokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wasiwe na wasiwasi na kwamba maswali wanayoulizwa yanalenga kupata ukweli wa taarifa zinazotolewa.
Kadhalika, wananchi ambao biashara zao ziliathirika kutokana na vurugu za uchaguzi wameiomba serikali kuangalia namna ya kuwasaidia ili wahudumie familia zao kwa sababu mali zao ziliporwa na watu walioshiriki vurugu hizo.
“Biashara zangu zilizoharibiwa katika eneo la Buguruni, thamani yake inafika Shilingi milioni 42, naiomba serikali iangalie namna ya kunisaidia kwani sasa hivi nina miaka 53 nguvu za kutafuta na kuijenga biashara hii sina tena,” alisema mwananchi aliyepoteza maduka yake mawili Buguruni.
Mwananchi mwingine ambaye ni kiongozi katika ngazi ya Shina Mtaa wa Tabata, ameishauri serikali kuchukua hatua mapema baada ya kujitokeza viashiria vya uvunjifu wa amani ili kuokoa maisha na mali za wananchi.
Alisema kwa kuwa maandamano ni tiba ya mioyo ya watu, serikali iangalie namna ya kukaa na vijana katika zama hizi za kidijiti ili kujua mambo wanayowaza ama kuyatekeleza katika kujenga mustakabali wao au wanaotaka watekelezewe ili kuwa vijana wema kwa maslahi ya taifa.
“Serikali imetenga asilimia nne ya mikopo ya halmashauri kwa ajili ya vijana lakini ukifuatilia kwa undani hutakuta kijana hata mmoja aliyepata mikopo hiyo. Waziri wa Vijana atafute jukwaa la kukutana na vijana ili kujua hali halisi ya vijana na achukue hatua ili vijana waweze kuwafikia vijana,” aliongeza mwananchi huyo.
Chanzo: Habari leo
Pia soma ~ Matukio ya Uchaguzi Oktoba 29, yalivyoacha kovu la kisaikolojia: Nani wa kutoa msaada?
Hivi katika hadidu rejea za kazi ya tume hii, hili la kutoa huduma za kisaikolojia lilikuwepo?TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.
Baadhi ya waathiriwa waliofika na kutoa ushahidi wao ni waliojeruhiwa kwa risasi katika miili yao huku wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu.
Mjumbe wa tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue ambaye anaongoza mikutano ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, alisema hayo wakati tume hiyo ikipokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali ya waathirika wa vurugu hizo katika Ukumbi wa Karimjee.
Makundi ya waathirika waliotoa ushahidi wao ni kundi ambalo ndugu zao walipoteza maisha, kundi lililopoteza ndugu zao na hawajui walipo, kundi la watu waliopata ulemavu na kundi la watu waliopoteza mali zao.
Balozi Sefue alisema baadhi ya wananchi waliopata ulemavu wa kudumu kutokana na vurugu hizo wanahitaji kupata ushauri wa kisaikolojia ili waikubali hali hiyo na maisha yaendelee na kwamba tume inatoa msaada wa kisaikolojia kwa kuwakutanisha na wataalamu hao.
Baadhi ya waathiriwa waliopata majeraha na ulemavu wa kudumu waliiambia tume kuwa kutokana na ulemavu huo walioupata wakiwa katika shughuli zao halali, walifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.
“Hatuna uwezo wa kuwapatia miguu bandia lakini tunaweza kuwatafutia wataalamu wa saikolojia na kuwaunganisha na ninyi ili muweze kupata huduma hiyo na maisha yaendelee,” alisema Balozi Sefue.
Aidha, aliwasihi wananchi wanaofika kutoa ushahidi wa kitu gani kilitokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wasiwe na wasiwasi na kwamba maswali wanayoulizwa yanalenga kupata ukweli wa taarifa zinazotolewa.
Kadhalika, wananchi ambao biashara zao ziliathirika kutokana na vurugu za uchaguzi wameiomba serikali kuangalia namna ya kuwasaidia ili wahudumie familia zao kwa sababu mali zao ziliporwa na watu walioshiriki vurugu hizo.
“Biashara zangu zilizoharibiwa katika eneo la Buguruni, thamani yake inafika Shilingi milioni 42, naiomba serikali iangalie namna ya kunisaidia kwani sasa hivi nina miaka 53 nguvu za kutafuta na kuijenga biashara hii sina tena,” alisema mwananchi aliyepoteza maduka yake mawili Buguruni.
Mwananchi mwingine ambaye ni kiongozi katika ngazi ya Shina Mtaa wa Tabata, ameishauri serikali kuchukua hatua mapema baada ya kujitokeza viashiria vya uvunjifu wa amani ili kuokoa maisha na mali za wananchi.
Alisema kwa kuwa maandamano ni tiba ya mioyo ya watu, serikali iangalie namna ya kukaa na vijana katika zama hizi za kidijiti ili kujua mambo wanayowaza ama kuyatekeleza katika kujenga mustakabali wao au wanaotaka watekelezewe ili kuwa vijana wema kwa maslahi ya taifa.
“Serikali imetenga asilimia nne ya mikopo ya halmashauri kwa ajili ya vijana lakini ukifuatilia kwa undani hutakuta kijana hata mmoja aliyepata mikopo hiyo. Waziri wa Vijana atafute jukwaa la kukutana na vijana ili kujua hali halisi ya vijana na achukue hatua ili vijana waweze kuwafikia vijana,” aliongeza mwananchi huyo.
Chanzo: Habari leo
Pia soma ~ Matukio ya Uchaguzi Oktoba 29, yalivyoacha kovu la kisaikolojia: Nani wa kutoa msaada?
Mtego mtego mtego ....TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.

Vita dhidi ya raia wasio na silaha? Hatuna tena law enforcement, crowd control, riot control (FFU), etc. zaidi ya kutangaza vita dhidi ya raia na kuwaua kama mbwa koko hadi mitaani na majumbani kwao? Unajua hata baadhi ya waliotoka kupiga kura walikula shaba wakirejea nyumbani? Baadhi ya watu wa night shift ambao hawakujua kinachoendelea walitandikwa shaba wakirejea kwao? Anyway, watemi mnaita "colateral damage"! Endeleeni kufurahia pepo ya mabwege.Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.
Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.
Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Waende kwenye makabati yao au kwenye masanduku yao majumbani mwao wachukue nguo zozote ambazo marehemu walikuwa wanavaa.Ziko wapi hizo nguo wakachukue?
vp umebaka na kuua wangapi? Niliona kuna clip mnapongezana kuua.mmeua hata watoto wadogo wanaocheza mpra uwanjaniKwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.
Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.
Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Usidanganyike. Walikuwa na silaha za locally made petrol bombs known as molotov ndiyo walikuwa wantumia kuchoma miundombinu kama Polisi na petrol stations. Walikuwa wanavaa kininja usoni na waki move lwa boda boda.Vita dhidi ya raia wasio na silaha? Hatuna tena law enforcement, crowd control, riot control (FFU), etc. zaidi ya kutangaza vita dhidi ya raia na kuwaua kama mbwa koko hadi mitaani na majumbani kwao? Unajua hata baadhi ya waliotoka kupiga kura walikula shaba wakirejea nyumbani? Baadhi ya watu wa night shift ambao hawakujua kinachoendelea walitandikwa shaba wakirejea kwao? Anyway, watemi mnaita "colateral damage"! Endeleeni kufurahia pepo ya mabwege.
Kwa mawazo aina hii nitazidi kushangaa usipoelewa kuwa Magufuli naye alikuwa akidhibiti "wahaini", "magaidi" na "wahujumu uchumi".
Eti kwenye vita unafahamu vita wewe idiot.Kwenye vita siyo rahisi kujua maiti ziko wapi. Waliopata wana bahati ila waliokosa ndiyo tunaita Missing In Action.
Vita ya magenge ya wahalifu wa miundombinu ya Serikali dhidi ya TANPOL/ JWTZ haikuwa ya kitoto. Kama una ndugu yako humuoni nenda kachukue nguo zake na kuzika tu.
Haikuwa na namna zaidi ya risasi na Tanzania ni salama zaidi baada ya wale wahalifu kuteketezwa
Nilikuwa JKT kwa mujibu wa sheria mwaka 1979 na nimepigana hadi Mbarara Uganda kumg'oa Iddi Amin. Idiot ni baba yako ambaye alibaki nyumbani na mama yako kufanya ngono na kisha ukazaliwa wewe pimbiEti kwenye vita unafahamu vita wewe idiot.
Kwa mujibu wa sheria?Stori zako za zililpendwa kamsimulie mke wako malaya wa Tabata.Nilikuwa JKT kwa mujibu wa sheria mwaka 1979 na nimepigana hadi Mbarara Uganda kumg'oa Iddi Amin. Idiot ni baba yako ambaye alibaki nyumbani na mama yako kufanya ngono na kisha ukazaliwa wewe pimbi