Responded Tume yasema waathirika wa Oktoba 29 watapatiwa huduma ya Kisaikolojia

Hakukua na vita Oktoba 29.
 

Watawassifiankwa bajeti gani? Hii inaonyesha ni jinsi gani hawa watu ni sehemu ya serikali.

Hivi hilo wanaloahidi ni sehemu ya ToR walixopewa?
 
Sakolojia hipi?mfano tuliopoteza watoto ambao tumewalea kwa kubangaiza ,leo ni sakolojia ipi


itafanya kazi ?binfsi napendekeza Jaji Mwongaza tume kama ana mtoto wa kike anzia miaka 35 anipe nihoe anizaloe watoto ,kwa hili nitamshukuru sana, maana mke wangu kwa sasa tokana na matatizo ya kiafya hawezi zaa tena Hi
 
Mbona wanaanza kufanya kazi ambayo hawakutumwa 😔
Wanatumia hiyo mbinu kuwa vuta na kuwatambua wenye ushahidi mzito ambao awajulikani ili kuwatia mikononi ..kuhalibu ushahidi kwa mbinu chafu...hii ni baada ya hiyo tume ya kihuni ya Samia na waislamu waovu na Raia feki kubuma ..UKITUMIA AKILI TU HIYO SIYO KAZI YA TUME, BASI KWA NINI WANAFANYA HIVYO ? HAPO NDIPO ULIPO MTEGO.
 
imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia.
Hii ilikuwemo kwenye Terms of References walizopewa?
===
Mbona kama wanaanza kujipa kazi kinyume na makubaliano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…