Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

Umemsahau Diamond hadi wameweka na petition ya kusaini
. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watz mambumbumbumbu hapa nchini!
Crimea Halafu tunahangaika kujua kwanini wagonjwa wa kasa, sukari na presha wanaongezeka kumbe wapo wanaojitakia kwa sababu ya chuki na wivu🙄🙄

Hizi ni tabia kuzimu🤣🤣🤣
 
Kuna kipindi nasikia aibu kusema mimi ni mtanzania. Nchi hii ina wapumbavu wengi. Yaani wanaungana kupambana na diamond ila hawawezi ungana kupambana dhidi ya unyonyaji ,kodi za kipuuzi, ukosefu wa sukari,mafuta n.k
 
Kuna kipindi nasikia aibu kusema mimi ni mtanzania. Nchi hii ina wapumbavu wengi. Yaani wanaungana kupambana na diamond ila hawawezi ungana kupambana dhidi ya unyonyaji ,kodi za kipuuzi, ukosefu wa sukari,mafuta n.k
Hao ndio watz mkuu!

Yani uzi wa bajeti una replays 120 wa chalamila una 600 wa diamond 800

Hebu ona hizi akili! Kwa nini ccm isitawale miaka elfu
 
Crimea Halafu tunahangaika kujua kwanini wagonjwa wa kasa, sukari na presha wanaongezeka kumbe wapo wanaojitakia kwa sababu ya chuki na wivu[emoji849][emoji849]

Hizi ni tabia kuzimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ccm iendelee kutawala tu mkuu kwa akili zile za kina Lema eti hadi wameazimia kumtoa Mondi youtube!

Hii itamsaidia nini bibi yake Salary slip anaeteseka kwa umasikini kule kijijini?
 

Huo ujinga wa watanzania Ndio umeanza Sasa? Mbona kipindi cha Samwel Sitta na Anna Makinda watu walikuwa wanafuatilia sana bunge kabla ya dhalimu kuiingia madarakani, na kuanza kunajisi chaguzi na kufanya Mihimili kibogoyo? Ama ulianza kufuatilia siasa kipindi dhalimu ameingia madarakani?
 
Na ashafahamu watanzania ni wepesi sana. Wanataka burudani. Wakija shtuka miaka imekatika hamna jipya.... 😁😁😁😁
Hakuna aliyelazimishwa kumjadili Chalamila wala kukatazwa kumjadili bajeti. It's your option!
 
Wewe budget umeichambua, au upo ilimladi kutusakama ili nafsi yako itulie
Si ndio hapo sasa, anashangaa watu hawajadili bajeti ya majizi ya kura, wakati huo huo yeye yuko kwenye kila uzi hata usiojadili budget!
 
Acha ccm iendelee kutawala tu mkuu kwa akili zile za kina Lema eti hadi wameazimia kumtoa Mondi youtube!

Hii itamsaidia nini bibi yake Salary slip anaeteseka kwa umasikini kule kijijini?

Chadema wanapambana usiku na mchana kumtoa mtoto wa mama DiamondPlatinumz BET🤣🤣🤣
Hawa jamaa wamepoteza dira
 
Chadema wanapambana usiku na mchana kumtoa mtoto wa mama DiamondPlatinumz BET[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wamepoteza dira
Walivyo wajinga hapo wanaona ndio watakuwa wamepata mafasi na wao kuwa ikulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani kwani dhalimu si amekufa? Na mambo yako shwari?

Inakuwaje sasa unakuwa mwepesi kufuatilia ishu za kijinga kama za kumtoa Diamond BET na kushabikia kutumbuliwa kwa sabaya na chalamila huku zile za kuongezewa kodi ukipiga kimya kwa kisingizio cha marehemu?
 
Wewe budget umeichambua, au upo ilimladi kutusakama ili nafsi yako itulie
Hapana sijaichambua niko busy kusaini petition ya kumtoa Mondi BET na kufurahi kutumbuliwa kwa chalamila, mambo ya bajeti yana umuhimu gani kwangu mie zaidi ya hayo?
 

Hizo za kuongezewa kodi haziwezi kubadilika maana ndio uwezo wa hilo bunge kibogoyo, chini ya serikali ya majizi ya kura, sana sana itakuwa kufurahisha genge. Hizo ndogo ndogo za kuondolewa kina Diamond ziko ndani ya uwezo wetu kwani wanadeal na watu tofauti sio hawa wahafidhina wa ccm. Tunashabikia kutumbuliwa kwa Sabaya maana dhalimu anadhalilishwa baada ya kuumiza watu wetu.
 
Na ndio mada inavyosema mkuu! Nyie uwezo wenu ni kudeal na mambo madogo madogo kama haya ya kuwaondoa kina Mondi huko BET, haya hadi petition mtasini ila mambo makubwa ya kujadili bajeti na kuonesha jinsi mtakavyoumia miaka miwili ijayo haya hamuyawezi ndio mana tukasma watz ni wajinga.

Watu wako waliumizwa na dhalimu na mama anawafuta machozi kwa kuwatoa kwenye nafasi. Tuseme mikumi tena kwa mama na ccm mbele kwa mbele kwa mbele kwa kusikia kilia chenu
 
Naam!
 
Hapana sijaichambua niko busy kusaini petition ya kumtoa Mondi BET na kufurahi kutumbuliwa kwa chalamila, mambo ya bajeti yana umuhimu gani kwangu mie zaidi ya hayo?
Mond uyo nduguyo toka ccm , aliekula bata chini ya mwendazake wakati haki za watu zikikanyagwa, ongera KWA ilo Kama umeamua kuokoka
 
Bado aliyekuwa miss Iringa,akawa miss tabora na sasa kawa miss mara
 
CCM mbele kwa mbele🎧🎶🎵🎼🎷🎹🥁🎤

Waacheni waandamane eeeee🎷🎤🎤🎤


Alitunga huu wimbo ataishi vizazi na vizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…