Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

Bajeti kubwa kwenye matumizi ya kawaida kuliko miradi ya maendeleo,

Umaskini tupo nao sana tu,

Yaani unapata elfu 10 unakula elfu 9500 unaweka 500 kama akiba.
 
Kujadili bajeti tuwaachie
Babu Tale
Mwanafar
Gwajiboy
M push
Kibajaji and the like
 
Tulipigwa chenga kali sana
 
Pathetic
 
Burdani inaongeza hata siku za kuishi hayo mastress ya Bajeti hata tukilalamika hakuna kitakachobadilika
Kwa hiyo kumbe hata suala la Katiba hamna haja ya kulalamika. Hakuna kitakachobadilika?

Hizi tozo mpya hakuna haja ya kulalamika hakuna kitakachobadilika.

Mama anaupiga mwingi sana
 
Baada ya hizi tozo ,

TRA wataanza Tena kutangaza walichokusanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…