Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Jamii ya Mguda kule Kishapu? Msimu ujao tena mtapigwa mpaka msemeee!JAMII ya MGUDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii ya Mguda kule Kishapu? Msimu ujao tena mtapigwa mpaka msemeee!JAMII ya MGUDA
Swali zuri.Kwani wewe usipoishabikia Simba unafikiri MO 29 atapata hasara. Au wewe ukiishabikia Simba timu inapata faida gani kutoka kwako
Jidanganye. Huo ni moyo wa nje tu,lakini moyo wa ndani kuna YANGA na makolo. Hata Azam ilivyo na pesa vile lakini viongozi wote mioyo yao ya ndani kuna YANGA na mikiaMimi ile siku Pamba FC ya Mwanza imepanda Ligi Kuu nikaachana na mambo ya Simba. Karibu mashabiki wote wa Simba walioko Mwanza au wazaliwa wa Mwanza wameshahamia Pamba FC, karibu na wewe.
kwenye kibanda umiza unaenda kufanya nn? suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuusaaaaaaaaaaaaaaaaaaaRejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-
1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'
2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani[emoji1784][emoji856][emoji855]
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"
3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!
"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"
4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...
Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"
#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
Timu utakosa nguvu ya upande mwingne..!! Jamii yetu imejtoa sana mwaka huu bila NGUVU ZETU simba isingefika hata Makundi klabu bingwa....!!Kwani wewe usipoishabikia Simba unafikiri MO 29 atapata hasara. Au wewe ukiishabikia Simba timu inapata faida gani kutoka kwako