Tumeacha ushabiki kwa Simba SC mpaka haya yafanyiwe kazi

Kwani una mchango gani kwa timu ya Mhindi?
 
Ukiona nyani katema bungo ujue yamefika hapa.
 
Mimi ile siku Pamba FC ya Mwanza imepanda Ligi Kuu nikaachana na mambo ya Simba. Karibu mashabiki wote wa Simba walioko Mwanza au wazaliwa wa Mwanza wameshahamia Pamba FC, karibu na wewe.
Jidanganye. Huo ni moyo wa nje tu,lakini moyo wa ndani kuna YANGA na makolo. Hata Azam ilivyo na pesa vile lakini viongozi wote mioyo yao ya ndani kuna YANGA na mikia
 
Kwa mtazamo ulivyo SIMBA SC anaweza kuambulia nafasi ya 3 kwenye ligi.....!! Poleni Mashabiki wa SIMBA ambao bado mnaishabikia[emoji856][emoji855][emoji1784][emoji3061]
 
kwenye kibanda umiza unaenda kufanya nn? suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuusaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwani wewe usipoishabikia Simba unafikiri MO 29 atapata hasara. Au wewe ukiishabikia Simba timu inapata faida gani kutoka kwako
Timu utakosa nguvu ya upande mwingne..!! Jamii yetu imejtoa sana mwaka huu bila NGUVU ZETU simba isingefika hata Makundi klabu bingwa....!!
 
Alihitaji adhabu kali ....sema hapa Tanzania kuna wachezaji Simba na Yanga hawashikiki yani ni kama TFF inapata mgao ktk kwao...
Changamoto sana...TFF kama kanjibai ya akina Mtanga [emoji856][emoji855]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…