Tumeachana rasmi

Umetumia kilevi gani leo? 🀣 Yani hupendi uongo ila unadanganya bila aibu kwel?
🀣🀣🀣 Extro nimedanganya nini??
Hivi kwann unapenda kusema me napenda pesa?!! Najua iki ndo unachotaka kusema tu!!
 
Watu wamekalili story na movie za kufanikiwa baada kupitia hali ngumu na kujua ndivyo maisha yalivyo hawajui kuna kuna kundi kubwa zaidi la watu ambao wanaishia kwenye msoto maisha yao yote sema tu story zao hazipewi airtime ya kutosha
 
Kwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?

Kama ipo nafasi mrudie mwenzako,pambana akiwepo
Kususa haikusaidii kitu

Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
Ni wachache wanaoweza kufikuria deep kiasi hichi upo makini Sana na nyege zako hutaki kabisa zikusumbue
 
We ipo hiyo !! Sema haijawahi kukutokea tulio anxaa sifuri kujitafutaa tunamuelewaa

Sent from my itel S663L using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu lakini usingemuacha labda asingechoka. Umemfanya akupende na shida zako na umemuumiza moyo.
 
Humu kila mwanaume anajiamini, anachakata pisi kali, mjanja wa mjini. Kila mwanamke ni super woman, hapigi mizinga anajimudu kiuchumi, hayumbishwi na mwanaume. Hizi fake ID zinatusitiri sana.



Mbona wanawake wengi tu humu huwa wanajinadi kwa uwazi kabisa kuwa wako β€œafter money β€œ. !

Uwe unawasoma between lines utawaelewa vizuri.

Tena wapo wengi tu.

Wanawake ambao wanaamini katika Penzi la dhati lisilo na masharti ikiwemo fedha kwa humu Kama wapo ni wachache sana kiasi cha kuhesabika, walio wengi wako after money [emoji383]
 
Hahhaha duh sasa hapo ulikosea bro ..umejiami mapema sanaa ungempenda tu kawaida, then kipindi cha ubroke ni cha mpito tu unaona eeh? Kwahyo wewe ungempenda kawaida na kumpa moyoo tu pia ungemjengea dhana ya kukuamini kwamba ipo siku utatoka na kuwa na hela vizuri tu . Wanawake wanakaa na watu wenye future . Sio hela za siku mbili tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…