Tumeachana rasmi

Pole Natafuta Ajira
Ungebaki nae tu,muhimu alielewa hali yako na bado akachagua kuwepo kwenye maisha yako
Msome marambilimbili pale alipoandika'Vijana wenzangu usiwe commited kwenye mahusiano kama bado uchumi unayumba. Hata kama mwanamke anakupenda kwa hali yako hautakuwa sawa kisaikolojia'.
Mimi mwanaume nimeshamuelewa.Tutafute pesa kwanza.
 
Aiseee.! Mimi nlifikiri wote ni super women yaani wale fermists konk
 
Hata kumpelekea moto ulishindwa. Kama huna hela basi kupeleka moto usishindwe. Ndo utaratibu!.
 
Hao mabroo utawaweza basi. Wanachukulia mambo kirahisi rahisi sana wanafikiri privilege wanazopewa wao kwenye jamii ni sawa na sisi ambao bado tunajitafuta
Mimi ni kijana mwenzio ila hapo umefeli yaani. Sasa unafikiri utaweza kuishi pekee yako bila pa kukojelea. Trust me utatafuta tu mwingine. Kama sio utaanza kununua. Kama sio uta piga punyeto labda uwanze kwenda kanisani
 
Mimi ni kijana mwenzio ila hapo umefeli yaani. Sasa unafikiri utaweza kuishi pekee yako bila pa kukojelea. Trust me utatafuta tu mwingine. Kama sio utaanza kununua. Kama sio uta piga punyeto labda uwanze kwenda kanisani
Mwanamke nae ana future yake ana matarajio yake kama unaona haupo katika wakati sahihi wa kumtimizia muache aende mawazo yasiishie kwenye kufikiria sehemu ya kukojoa shahawa zako tu
 
Mwanamke nae ana future yake ana matarajio yake kama unaona haupo katika wakati sahihi wa kumtimizia muache aende mawazo yasiishie kwenye kufikiria sehemu ya kukojoa shahawa zako tu
Sasa unabidi umwambie akubali tu mwenyewe hilo swala lilikua ni dogo. Hafu inaonekana mwanamke mwelewa. Mm nilikutana nakitu kama hiki ni around 22 yrs old. Niliona ananiomba pesa sana ilihali Mimi sikufahamu mahusiano yetu yanakwenda wapi ilibidi nimuulize vizuri mm na yeye tunakwenda aliishia kijiumauma tu. Ndo ikawa mwisho.
 
Ningemuambia ofcourse angekataa sometimes kutaka majadiliano na mwanamke ni kukuza mambo tu bila ulazima. Mwanaume kama una uhakika na unachokifanya chukua maamuzi tu mwanamke atakuja kuelewa mbele kwa mbele
 
Msiwalaumu wanawake maana hayo mapenzi ya dhati siku hizi hayapo unakuta mtu kapanga msururu wa wanawake na wote anawaahidi atawaoa, na uzuri ninyi wenyewe huwa mnakiri kwamba hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja sasa kwanini mnataka wanawake wawachukulie serious, ninyi wenyewe hamko serious na mapenzi mnawaza ngono tu ila wanawake wakiwaza pesa mnawatukana na kuwadhalilisha
 
Mwanaume kuwa na wanawake wengi ni kutimiza jukumu lake la asili ila mwanamke kuwa na wanaume wengi ni umalaya
 
Usione kila aliyetoboa ukajua amefight sana na usione mtu hajatoboa ukajua alikuwa lazy sana ,,,,,,kaa jiulize utatoboa lini??? Usijekujikuta umekuwa mzee msela kama kakangu T I D MNYAMA ,,,,,anyway wew ndo kioo cha maisha yako mwenyewe,,,,,,hayanaga fomula
 
Sema nini mkuu umemuacha huyo mwanamke ukiwa na hofu kuu moyoni mwako,,,,vipi ikitokea umejitafuta umejipata ukaoa afu ukaja kufilisika vipi utamuacha kwa sababu umekuwa fukara????
 
Hakuna mwanamke mwenye Huruma ma mwana ume asΔ±e na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…