Brilliant Beauty
Member
- Jul 8, 2022
- 76
- 134
Unadhana potofuuu wewe. Sio lazima kumuudumia pia ni vyema kuplay majukumu yako kama unakipato , sasa kama utaki kumuudumia basi usimtumie mpaka umuoe .Binti hujamuoa umhudumie wewe? na wazazi/ndugu zake wafanye nini?