Tumeambiwa Shilingi Trilioni 1 itajenga Madarasa, ni vema tozo ipunguzwe

Una ongezewa deni la taifa afu mda huo huo una kamliwa kila kona ya kipato chako.maelezo yao hayatoshi sarakasi zina ishia kwenye ujenzi wa madarasa na afya basi
Kwakweli hata mimi limenistua sana...Hayo madarasa na vituo vya afya ndiyo imekuwa visingizio vya kila pesa ainapotafutwa? Lets get serious; hizo zote hazina direct link na production....Jamani majengo tu bila huduma ni tatizo, ajira hakuna kama hakuna pesa za kuajiri madarasa hayo nani atayafundisha?
 
Una matatizo wewe,ngoja niishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…