Ha ha ha mpambanaji asie na kitu wala kazi lolMpambanaji
Ha ha ha mpambanaji asie na kitu wala kazi lol
This is funny
Bila kusahau neno jipya mjini Dr. Shika, lakin zote hizi ni mbwembwe tu, huwa sipendi mtu aniite boss while sina hata 5k mfukoni, au kuna zile jitu linakukuta bar na bajeti yako finyu unapambana na Balimi zako linakuchangamkia boss boss...
Ile mikakati na mipango unayofanya ili upate ndiyo inakupa jina la mpambanajiHa ha ha mpambanaji asie na kitu wala kazi lol
This is funny
Kama huna mipango yoyote ni mpambanaji pia tehIle mikakati na mipango unayofanya ili upate ndiyo inakupa jina la mpambanaji