Tumeamua kujipa majina haya baada ya kukosa ajira; bosi, afisa, mkurugenzi, injinia, mzee wa kazi bila kusahau mkuu

Bila kusahau neno jipya mjini Dr. Shika, lakin zote hizi ni mbwembwe tu, huwa sipendi mtu aniite boss while sina hata 5k mfukoni, au kuna zile jitu linakukuta bar na bajeti yako finyu unapambana na Balimi zako linakuchangamkia boss boss...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila kusahau neno jipya mjini Dr. Shika, lakin zote hizi ni mbwembwe tu, huwa sipendi mtu aniite boss while sina hata 5k mfukoni, au kuna zile jitu linakukuta bar na bajeti yako finyu unapambana na Balimi zako linakuchangamkia boss boss...
Tuliza mzuka mkuu, unaweza kuwa boss wa Balimi
 
Siku hizi wasomi kibao tumeamua kuanza kupeana majina yatakayotupa heshima mjini..
Kamanda,Bosi wangu,Afisa,Mkuu,Big yote hayo kukosa ajira.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji57]

Em gusia na mengine yalokosekana hapo juu Tuone unaita/Unaitwaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkurugenzi upo
 
Back
Top Bottom