Tumeamua kujipa majina haya baada ya kukosa ajira; bosi, afisa, mkurugenzi, injinia, mzee wa kazi bila kusahau mkuu

Bila kusahau neno jipya mjini Dr. Shika, lakin zote hizi ni mbwembwe tu, huwa sipendi mtu aniite boss while sina hata 5k mfukoni, au kuna zile jitu linakukuta bar na bajeti yako finyu unapambana na Balimi zako linakuchangamkia boss boss...
Kama sipendi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…