Tumeanza kukataana mapema sana! Je msamaha wa madhambi yasiyojulikana umechangia?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.

Aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.
IMG-20250302-WA0033.jpg
 
Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.

Aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.View attachment 3256309
Huyo bado mko nae Sana na maendeleo hamtapata na hakuna lolote mtamfanya
 
Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.

Aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.View attachment 3256309
Na hata wa majimbo mengine, ntu kapiga mitano bila kufanya cha maana ni kupiga chini ndio watanyoka. Ama sivyo watawafanya mapimbi
 
Weka muhtasari wa kikao mlichokaa kuamua hayo uliyosema

Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.

Aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko
 
Hata kama wananchi mmemchoka ila kama mboga mboga hawajamchoka atapita tena kwa kishindo.

Ndo mtajua wananchi hatuna maamuzi juu ya serikali yetu,maamuzi wanayo wakubwa tu

Wakipanga lao lazima litimie

Rejea uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom