Tumechakatana kwa miaka miwili mfululizo kumbe hajui hataJina langu,nimechukua uamuzi wa kumuacha

Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza...
Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne

Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu

Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max

Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
Siajabu na lake hulijui
 
kuna ulazima gani ajue jina lako wakati akili iko kwa ampendaye, ulitumika vya kutosha as a sex machine.
 
Pata picha umelazwa hospital besi anakuuliza jina la mgonjwa hujui na ni mpenzi wako.
Au umekamatwa uko mahabusu mchumba wako hajui jina lako

Taharifa ya habari wanatangaza majina ya marehemu wa ajali,mkeo hajui jina lako
 
Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza...
Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne

Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu

Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max

Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
Hebu soma hayo maelezo uliyoaandika halafu ujitafakari kama kweli una akili timamu
 
Back
Top Bottom